Natafuta mwanaume

utamaduni wa mtanzania ni mwanaume kumtafuta mwanamke syo mwanamke kumtafuta mwanaume au umeshatumika xana
 
lakini mbona huja fahamika zaidi wewe miaka mingapi ukowapi unaishi vipi uko na watoto wangapi uliolewa au bado kuwa muazi unawezakusikia jambo ukasahau lakini ukifanya huwezi kusahau au ukiona huwezi kusahau maana historia yako unaijua.
 
Hilo tangazo mbona halina details za kueleweka..!

Nawe unakuwa utadhani mgeni jamvini jamaaani..! Funguka vizuri bibie nikuunganishe kwa my brother..! Kila la heri..!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom