Natafuta mwanamme wa kunioa.

Wapendwaa Habari zenu?

Mpaka nimefikia hatua hii siyo kwamba huku nilipo hakuna wanaume sababu ni kwamba mimi ni mwajiriwa wa serikali nimepelekwa ktk kijiji kimoja hapa Tanzania kiukweli namaliza mwaka wanaume wote waliopo huku wameoa ambao hawajaoa wengi wao ni vitoto vidogo.

Mimi ni msichana umri wangu miaka 26 nahitaj kuolewa na huku wanaume wengi hawana future za maisha.


Sifa za mwanamme:
1.Awe ameajiriwa au kujiajiri maeneo ya mjini.
2.Miaka 30 -40
3.Dini yeyote
4.Hata kama ulishaoa ukaacha una watoto nipo Tayari.
5.Usiwe Mfupi.


Sifa zangu :
1.Maji ya kunde
2.Mrefu wastani
3.Umbo wastani
4.Mwajiriwa serikalini


Nina Imani Nita pata mme huku ninayemuhitaji kwa sababu nahitaj mwanamme anayejituma tufanye maendeleo ya maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utapata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ID mpya...

Huwa najiuliza mengi sana kuhusu haya matangazo ya hivi!

Ni kweli kabisa watu humaanisha au?

Mimi ni mmoja ya kati ya watu wachache sana [naamini hivyo, yaani tupo wachache mno] ambao huwa hatuamini mazima kila kiandikwacho humu.
Inawezekana ID ya zamani haikumpa mafanikio au alikuwa rough,ndio maana amekuja na ID mpya akijaribu bahati yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom