Natafuta mwanamke wakuoa mwenye miaka25-40

Mgibeon

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
10,163
2,000
Mkuu, ndoa ni PASSWORD moja matata sana.. Ila kwakua bado hujaingia unanafasi ya kuchagua mwanamke wa kuendana na wewe, unaweza kumpata humu lakini MKE BORA ni yule unayemfahamu vizuri, yaani ukioa rafiki yako inakua magoli sana, vinginevyo ndoa ni KITANZI MUJARABHU.
 
mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
13,293

Apatae mke amepata kitu chema
Kila heri Ndoa2021
 
Depal

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
18,141
2,000
Kabla sijaja PM kuyajenga niambie sura ya dukani ndio ipoje?
Screenshot_20210117-172514.png
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom