Natafuta mwanamke wakuoa ambaye yupo tyr kuolewa.

Utamuwayesu

Member
Sep 30, 2018
15
45
Mwanamke ninaye muhitaji
1.Awe na miaka 26-35
2.Awe na elimu kidato cha 6- degree
3.Dini yeyote
4.Kabila lolote
5.Awe na mtoto au Hana sawa.
6.Awe na akili timamu anajituma
7.Awe mrefu wa kawaida.
8.Asiwe na sura ya dukani,.
Sifa zangu
Jina efraimu ,umri 33,dini mkristo,elimu shahada ya Kwanza,kazi mwajiriwa,naishi Dar, Kama upo tyr njoo pm tuyajenge,
Karibuni Sana kwa aliye serious tu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom