Natafuta mwanamke wa kuzaa naye

chuma cha mjerumani

JF-Expert Member
Dec 4, 2013
8,548
2,000
Usukumani huwa tunachagua mdogo wako mmoja anazaa nanmkeo, then inakuwa siri yako na mkeo na mdogo wako.Nikupe tu ushauri.


Unaweza ukapata hao watoto lakini unaweza ukapitia maswaiba mpaka ukajuta ya nini nilifanya hivyoo.

Wakati unapofika nwisho wa uvumilivu kukata tamaa ndio hapo kitu kinatiki. Mshirikishe Muumba wako jaribu tena kwa Mara ya mwisho.
 

Darleen

JF-Expert Member
Dec 2, 2017
567
500
Nikupe tu ushauri.


Unaweza ukapata hao watoto lakini unaweza ukapitia maswaiba mpaka ukajuta ya nini nilifanya hivyoo.

Wakati unapofika nwisho wa uvumilivu kukata tamaa ndio hapo kitu kinatiki. Mshirikishe Muumba wako jaribu tena kwa Mara ya mwisho.
Ahsante kwa ushauri. Ila huwa sipendi kutoa nafasi kwa majuto katika maamuszi yyt nilochukua.changamoto zipo tangia siku ulipodondoka kutoka tumbo la mama yako.
 

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,464
2,000
Habarini wapendwa. Mimi ni mwanaumewa umri wa wastan. Nina miaka 39, nimeoa na kubahatika kupata mtoto mmoja, ambaye alipatikana tukiwa chuoni mwana 2007 na baadae kuoana 2009. Nina miaka 9 katika ndoa. Tumejaribu kutafuta watoto zaidi ya mara tatu na kila mara tunapata bahati mbaya. Mpaka sasa nahofia kujaribu tena kwa kuogopa kumuumiza mke wangu. Kwa hiyo kama kuna mwanamke yupo tayari kuzaa na mm mtoto mmoja ama wawili anitafute inbox. Mimi nitatunza watoto na kuwasomesha bila shida.ila si kwa ajili ya kuoana kwani nina mke tayari na tumefunga ndoa kisheria na ni mkristo.
Mwanamke awe na umbo la wastan yaan sio mnene sana na wala si mwembamba, awe mweupe ama maji ya kunde.(mm ni super black)..awe na kazi ama shuguli binafsi yaan asiwe mtu wa nyumbani tu, awe mkristo ama aliye tayari kubadili dini maana japo hatutaoana ila nitawajibika kwake kama mume, awe mpole na mchapa kazi, awe tayari kuniheshimu kama mzazi mwenzake.mm ni mwenyeji wa mwanza na ninaishi kanda ya ziwa. Hivyo mwenye kuhitaji nifuate inbox na sio hapa common
Hili wazo umemshirikisha Mke wako...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom