Natafuta mwanamke wa kuzaa nae nitunze mtoto tu kuoa siwezi sitaki utumwa

tafuta mdada mwenye vigezo uvitakavyo kisha fanya makubaliano naye kwamba akuuzie ova yake..kisha tafuta surrogate mother wa kubeba na kutunza hiyo fertilised ova hadi wakati wa kujifungua...ila hilo jambo sidhani linakubalika tanzania..itakubidi ukatafute huko nchi za ulaya
Hahahaaa
 
Imekaa vyema, sema inahitaji maboresho kwenye vigezo na masharti.
Kama unamhitaji akuzalie tu, hakuna haja ya kuorodhesha vigezo vya maji ya kunde mara umbo namba nane.
Halafu ukimpata na akaridhia kukuzalia, hutakiwi kufuatilia kipato wala kazi yake coz the burden and responsibilities of taking care for your baby will be vested upon you and you will be required to process a life insurance.

Otherwise, uombe Mungu umpate ke asiyejitambua lakini kwa mwenye uelewa kamwe hatakubali kirahisi.
 
Sifa
age 21 hadi 32
Mrefu ,white kidogo awe na umbo namba 8,
Awe anafanya kazi muajiriwa au mfanyabiashara
Sifa zangu mimi
Age 28,mrefu futi 6,chocklet colour sio maji ya kunde sio mweusi,muajiriwa wizara nyeti,na mjasiriamali naelekea ndoto ya kua mkulima mkubwa,ni mtu wa mazoezi ndio my best friend(my body shape is my best friend)
NB;Nipo tayari kumtunza mtoto wangu na mama yake ila sitaki habari za kufuatana fuatana mara unarudi saa ngapi ?ullikua wapi? ,nitawasomesha watoto haina shida naomba walioko serious njoo pm nipo serious tuujaze ulimwengu
Am looking for a man to have a child with
 
Mkuu ni kweli maisha ndoa ni magumu na yanachangamoto lakini mtoto anaitaji malezi na upendo wa baba na mama watoto wanaolelewa na upande mmoja wanakuwaga na shida sana mara nyingi.
Kitu unachokifanya unaona ndo dawa lakini kufanya hivyo unawatengeneza watoto wako maisha mabovu yasiyo na malezi kamili na watakuja kuwa na maisha utafikir hawakuzaliwa,najua unaona kama ni simple kufanya hivyo lakin fuatilia watoto waliolelewa na mzaz mmoja wakoje ukiona poa we endelea na mpango wako najua mwanamke utapata ukitoa hvyo vigezo vyako utafikiri unanunua ng'ombe
Asanteh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom