Natafuta mwanamke wa kuoa

C.K

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
394
162
Kwa mwanamke anayetafuta mume, nicheck tufahamiane. Umri wangu late 30s, Mkristo, naishi Dodoma, so nikimpata aliye Dodoma pia itapendeza zaidi. Mimi ni mwajiriwa serikalini but pia nafanya mishe binafsi.
Sifa za mwanamke nayemtaka:-
1. Mkristo
2. Awe na shughuli inayomuingizia kipato
3. Awe mweupe (napenda rangi hiyo)
4. Asiwe bonge
5. Umri 20s (early, middle au late 20s sawa tu, not 30s)
6. Asiwe amezaa

Karibu sana kama utakuwa tayari... ni PM
 
Kwa mwanamke anayetafuta mume, nicheck tufahamiane. Umri wangu late 30s, naishi Dodoma, so nikimpata aliye Dodoma pia itapendeza zaidi. Mimi ni mwajiriwa serikalini but pia nafanya mishe binafsi.
Sifa za mwanamke nayemtaka:-
1. Mkristo
2. Awe na shughuli inayomuingizia kipato
3. Awe mweupe (napenda rangi hiyo)
4. Asiwe bonge
5. Umri 20s (early, middle au late 20s sawa tu, not 30s)
6. Asiwe amezaa

Karibu sana kama utakuwa tayari... ni PM
Mbona wewe hujajitolea ufafanuzi kama una mtoto au watoto mweusi au mweupo mkrusitu wa dhehebu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake ndiyo hao hao wa barabarani, masokoni, kwenye daladala ukimuona anayekufaa ruka nae mtafika tuuu.
 
Unauaibisha Ukristo wetu,
Mkiristo mwema huomba mke au mume kutoka kwa Bwana na sio kutoka kwa kwa mtandao wa JF,
Pole kwa hilo, lakini kufikia mpaka hii hatua unakuwa wapi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unauaibisha Ukristo wetu,
Mkiristo mwema huomba mke au mume kutoka kwa Bwana na sio kutoka kwa kwa mtandao wa JF,
Pole kwa hilo, lakini kufikia mpaka hii hatua unakuwa wapi,

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo unatuaibisha na sijawahi ona wakristo wenye akili zilizogandamizwa kama wewe. Kwahiyo we ukimuomba MUNGU akupatie mke unakaa tu unasubiri mke atoke mbinguni adondoke chumbani kwako. Eti mke anatoka kwa Bwana, kwahiyo unasali na kulala tu usubiri mke bila kufanya jitihada.
Na mindset hii uitumie kwenye uchumi uone kama kuna siku utaamka asubuhi ukute gari limejinunua lenyewe kutoka kwa Mungu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom