Natafuta mwanamke wa kuoa

hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,435
6,283
Umofia kwenu,

Jamani nahitaji mwanamke ambae atakuwa tayari tuishi pamoja as soon as possible sifa zake.
1 Mweupe
2 Mwenye kamwili kidogo
3 Atleast awe na kazi anafanya asiwe wa kukaa home tu
4 Awe tayari tuishi pamoja

Mdada mwenye hizo sifa please nitumie SMS then tumeet na kuongea.
 
Duuuuh aiseee hali ni mbaya.
Watu wameambiwa waende PM lakini wameamua kuchangamkia fursa hapahapa jukwaani,sipatii picha huko PM!

Nyie wanaume mnaotafuta wanawake humu (hasa mnaosema mnataka kuwaoa) muwe serious jamani,msicheze na mioyo ya dada zenu.

Sijaongelea upande wa wanawake maana daima sisi huwa tunamaanisha,sidhani kama kuna mwanamke anayeweka thread ya kumtafuta mume akawa hayupo serious.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom