Wanajf poleni mihangaiko ya life. Mimi ni husband wa somebody. Tumejaliwa watoto wa4 lakini wote ni wa kiume. Kwa kuwa jitihada zetu za kupata baby girl zimeshindikana, nawasilisha ombi kwa mwanamke yeyote aliyetayari kunizalia mtoto wa kike. Lakini awe pia na nia kama ya kwangu na uwezo wa kumlea mwenyewe. Ina maana awe anajimudu kimaisha. Lengo ni kuepusha migogoro isiyo ya lazima kwani huwa sipendi usumbufu licha ya kuwa na mapenzi ya kweli.