Natafuta mwanamke wa kunizalia mtoto wa kike

ChiefmTz

JF-Expert Member
Apr 15, 2008
2,937
938
Wanajf poleni mihangaiko ya life. Mimi ni husband wa somebody. Tumejaliwa watoto wa4 lakini wote ni wa kiume. Kwa kuwa jitihada zetu za kupata baby girl zimeshindikana, nawasilisha ombi kwa mwanamke yeyote aliyetayari kunizalia mtoto wa kike. Lakini awe pia na nia kama ya kwangu na uwezo wa kumlea mwenyewe. Ina maana awe anajimudu kimaisha. Lengo ni kuepusha migogoro isiyo ya lazima kwani huwa sipendi usumbufu licha ya kuwa na mapenzi ya kweli.
 
You contradict yourself---please check red just as one example-anayependa kweli haogopi migogoro; plus umesema nia ni kupata baby gal tu; so huko kupenda kunatoka wapi wewe jamaa? I think you are it confused, seek a shrink....

FYI: Wako wengi mbona? Jaribu mmoja mmoja hadi upate maana kwa hakika bila kujaribu huwezi kujua kama utapata ua la; na pia hakuna mwanamke anayejua kama straight away atazaa ka-gal; plus hako ka-gal sasa akitunzawa na mamake sirini, atakuwaje wako...duh, mwenzangu sijakupata
 
Nimebaini kuwa ukiwa na binti utawahi kuitwa babu. Na kwa kuwa nina midume pekee, natamani binti wa ku ballance
Anaedetermine jinsia ya mtoto ni baba ndg so utasambaza madume mji mzima ukitafuta jike.. Watchout!
 
Wewe hauko serious, yani unataka kuzaa na mtu lakini kulea hutaki. Nani anataka huo ujinga wako. Nipe mke wako nimzalishe mtoto wa kike halafu unisaidie kulea. Kwanza nina hasira nimepigwa kibuti.
 
Wewe hauko serious, yani unataka kuzaa na mtu lakini kulea hutaki. Nani anataka huo ujinga wako. Nipe mke wako nimzalishe mtoto wa kike halafu unisaidie kulea. Kwanza nina hasira nimepigwa kibuti.
Pole kwa kibuti
 
Mtoto wa kike unae wewe mwenyewe kiunoni. Kama M/Mungu hajakuwekea kiunoni mwako basi hata uchakachue vipi huwezi kumpata. Na hivyo ulivyoonyesha nia ya kumtelekeza, humpati ng'ooo. Omba Mungu akujalie kwa huyohuyo mkeo. Nakutakia kila la heri. Mungu akuepushe na mawazo ya kuzaa nje ya ndoa yako. Amen.
 
Kuna vituo vingi vya watoto yatima. Unaweza kwenda huko na kuchukua watoto wa kike hata kumi broda.
Ni kweli usemacho, licha ya ku avoid legal processes, lakini pia nahitaji blood related na c vingine.
 
Mtoto wa kike unae wewe mwenyewe kiunoni. Kama M/Mungu hajakuwekea kiunoni mwako basi hata uchakachue vipi huwezi kumpata. Na hivyo ulivyoonyesha nia ya kumtelekeza, humpati ng'ooo. Omba Mungu akujalie kwa huyohuyo mkeo. Nakutakia kila la heri. Mungu akuepushe na mawazo ya kuzaa nje ya ndoa yako. Amen.
Mke wangu ameshafunga kuzaa kutokana na matatizo aliyopata wakati wa kujifungua mtoto wetu wa mwisho. Otherwise nisingehangaika hivi.
 
Mkuu Maamuma, ni kweli usemalo. Baada ya kubaini kuwa kupata baby gal is just a matter of timing, ndo maana nahangaika kihivyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom