Natafuta mwanamke wa kunizalia mtoto wa kike

Unamjua MTU mwenye mapenz ya dhati wewe kama unajua uwezi kuthubutu kumsaliti mkeo name isitoshe watoto ni watoto either wa kiume au wa kike nani zawadi from God
 
Wanaume ndo mnaosababisha mtoto awe wa kike au wa kiume,kasome biology form three topic inaitwa reproduction,wanawake wana mbegu aina moja ambayo ni x na wanaume wana xy so inaonekana y zina nguvu kuliko x ndo maana huna mtoto wa kike,pia kuna mzee alikua na tatizo kama lako akazaa na mwanamke mwingine but akaambulia wa kiume tuu so ujue kua wewe ndo mwenye tatizo la kutoa y zaidi kuliko x.so kamuone daktari.
 
:cheer2:WANAUME NDO MNAOSABABISHA MTOTO AWE WA KIKE AU WA KIUME,KASOME BIOLOGY FORM THREE TOPIC INAITWA REPRODUCTION,WANAWAKE WANA MBEGU AINA MOJA AMBAYO NI X NA WANAUME WANA XY SO INAONEKANA Y ZINA NGUVU KULIKO X NDO MAANA HUNA MTOTO WA KIKE,PIA KUNA MZEE ALIKUA NA TATIZO KAMA LAKO AKAZAA NA MWANAMKE MWINGINE BUT AKAAMBULIA WA KIUME TUU SO UJUE KUA WEWE NDO MWENYE TATIZO LA KUTOA Y ZAIDI KULIKO X.SO KAMUONE DAKTARI.:A S-cry:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom