Natafuta mwanamke wa kunizalia mtoto wa kike

Aaah!! Mbona naenjoy kuwa na hiyo midume yangu kwani hata spare tyre hubadilisha yenyewe, kuosha gari na kadhalika. Tatizo ni kuwa ukiangalia kwa mila za kiafrika yaani mie nitakuwa mtoaji tu wa mahari kwa hiyo midume yangu na sio mpokeaji. Na hata watoto wangu naona wanamiss sister kiasi kwamba iliwahi kufikia kutaka kumng'ang'ania mtoto wa jirani yetu mmoja kuwa aje kuishi kwangu kwa kuwa ni mpole na sababu za aina hiyo. Hata wao naamini kuwa siku wakijua kuwa wana sister watafurahi sana.

Nina mashaka na wewe. Ulikubalije wife afunge uzazi na wakati bado hujapata msichana??? Hebu acha kutuzuga hapa bwana fanya timing then mambo yatakuwa mswano
 
Kwa nini uiumize familia yako?je mkeo angesema anataka kuzaa nje ungekubali??au wewe mkeo ni tools hana maamzi juu yako??acha hizo
 
Kutokana na matatizo yaliyoambatana na uzazi wa mtoto wa mwisho, hatukuwa na budi kufunga kwani isingewezekana kuzaa tena kwa usalama.
 
Wanajf poleni mihangaiko ya life. Mimi ni husband wa somebody. Tumejaliwa watoto wa4 lakini wote ni wa kiume. Kwa kuwa jitihada zetu za kupata baby girl zimeshindikana, nawasilisha ombi kwa mwanamke yeyote aliyetayari kunizalia mtoto wa kike. Lakini awe pia na nia kama ya kwangu na uwezo wa kumlea mwenyewe. Ina maana awe anajimudu kimaisha. Lengo ni kuepusha migogoro isiyo ya lazima kwani huwa sipendi usumbufu licha ya kuwa na mapenzi ya kweli.
Acha hizo ndugu yangu, mtoto wa kike ndio nini, mbona hukutafuta tangu mlipozaa watoto 2 au 3, unaweza kusababisha ugomvi mwingine ambao haukutakiwa kuwepo kwenye ndoa yako. Waombee watoto wako hao uwasomeshe vizuri, ni Mungu ndiye ameamua kukupa hao, angetaka usingepata hata mmoja hata huyo wa kiume. Mungu atakupa wajukuu wa kike acha uzinzi na Mungu hapendi kabisa usijinajisi bure, Mungu anajua kwanini hajakupa wa kike
 
Kutokana na matatizo yaliyoambatana na uzazi wa mtoto wa mwisho, hatukuwa na budi kufunga kwani isingewezekana kuzaa tena kwa usalama.

Wewe kula sifa kwa midume yako bwana mtoto wa kike wa nini? Upate mahali au??? Kwani unategemea mahali ya mwanao ndo ikutunze??? Mie utaniudhi sasa aaakkk
 
Kwa nini uiumize familia yako?je mkeo angesema anataka kuzaa nje ungekubali??au wewe mkeo ni tools hana maamzi juu yako??acha hizo

Mkuu
Hilo tatizo hata wife analiona na huwa tunajadili sana kwa pamoja na anaonekana kutaka kunishauri nifanye hivyo. Lakini kwa kuwa wanawake hawaaminiki, nachelea kupatwa na matatizo yaliyompata Nabii Ibrahim kutoka kwa mke wake Bi Sara. Ni kutokana na hofu hiyo, ndo maana nimeamua kutafuta option mbadala.
 
Chief hiyo ngumu sana duuuuhhh kisa mtoto wa kike ha ha ha ha ha ha sikubali hata kidogo
 
Wewe hauko serious, yani unataka kuzaa na mtu lakini kulea hutaki. Nani anataka huo ujinga wako. Nipe mke wako nimzalishe mtoto wa kike halafu unisaidie kulea. Kwanza nina hasira nimepigwa kibuti.
hgahahahaa! BB, umzalishe mkewe na atunze yeye bana!
Yani yeye ni mmiliki wa X na Y, then anafikiri mwanamke mwingine ndo anaweza kumzalia mtoto wa kike? How Low is that?
 
Wanajf poleni mihangaiko ya life. Mimi ni husband wa somebody. Tumejaliwa watoto wa4 lakini wote ni wa kiume. Kwa kuwa jitihada zetu za kupata baby girl zimeshindikana, nawasilisha ombi kwa mwanamke yeyote aliyetayari kunizalia mtoto wa kike. Lakini awe pia na nia kama ya kwangu na uwezo wa kumlea mwenyewe. Ina maana awe anajimudu kimaisha. Lengo ni kuepusha migogoro isiyo ya lazima kwani huwa sipendi usumbufu licha ya kuwa na mapenzi ya kweli.

Chief,

Wewe una matatizo makubwa sanaa...na ni makubwa kuliko huyo mtoto wa kike unayemlilia!
 
Wanajf poleni mihangaiko ya life. Mimi ni husband wa somebody. Tumejaliwa watoto wa4 lakini wote ni wa kiume. Kwa kuwa jitihada zetu za kupata baby girl zimeshindikana, nawasilisha ombi kwa mwanamke yeyote aliyetayari kunizalia mtoto wa kike. Lakini awe pia na nia kama ya kwangu na uwezo wa kumlea mwenyewe. Ina maana awe anajimudu kimaisha. Lengo ni kuepusha migogoro isiyo ya lazima kwani huwa sipendi usumbufu licha ya kuwa na mapenzi ya kweli.
Katika masela wote walo na watoto nje...achilia mbali jinsia.... hakuna mwenye raha... wote wanalalama...hasa wkishautwika.... mmoja alishafikia kutishia na bastola mzazi mwenze...kwa kero na usumbufu alokuwa anaupata licha ya ya kutimiza wajubu wote wa kulea kama mwanaume!!!SIKUSHAURI...ridhika na hao mungu alokupa...kuna wengia hata mtoto wa kukodi hawana!!
 
Wewe kula sifa kwa midume yako bwana mtoto wa kike wa nini? Upate mahali au??? Kwani unategemea mahali ya mwanao ndo ikutunze??? Mie utaniudhi sasa aaakkk
Dena Amsi does it means mtoto wa kike hana maana aua hana sababu?
 
Last edited by a moderator:
Yaani nikuzalie na nimlee mwenyewe!! No wonder hupati huyo mtoto wa kike.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom