Natafuta mwanamke wa kunizalia mtoto wa kike | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mwanamke wa kunizalia mtoto wa kike

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ChiefmTz, Dec 7, 2010.

 1. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2010
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,507
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Wanajf poleni mihangaiko ya life. Mimi ni husband wa somebody. Tumejaliwa watoto wa4 lakini wote ni wa kiume. Kwa kuwa jitihada zetu za kupata baby girl zimeshindikana, nawasilisha ombi kwa mwanamke yeyote aliyetayari kunizalia mtoto wa kike. Lakini awe pia na nia kama ya kwangu na uwezo wa kumlea mwenyewe. Ina maana awe anajimudu kimaisha. Lengo ni kuepusha migogoro isiyo ya lazima kwani huwa sipendi usumbufu licha ya kuwa na mapenzi ya kweli.
   
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,175
  Trophy Points: 280
  Wewe unatafuta mgogoro halafu unasema unaepuka mgogoro?
   
 3. s

  seniorita JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0


  You contradict yourself---please check red just as one example-anayependa kweli haogopi migogoro; plus umesema nia ni kupata baby gal tu; so huko kupenda kunatoka wapi wewe jamaa? I think you are it confused, seek a shrink....


  FYI: Wako wengi mbona? Jaribu mmoja mmoja hadi upate maana kwa hakika bila kujaribu huwezi kujua kama utapata ua la; na pia hakuna mwanamke anayejua kama straight away atazaa ka-gal; plus hako ka-gal sasa akitunzawa na mamake sirini, atakuwaje wako...duh, mwenzangu sijakupata
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Dec 7, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  siku hizi humu ni kutafuta tu daaaah
   
 5. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #5
  Dec 7, 2010
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,507
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Bro niko serious
   
 6. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #6
  Dec 7, 2010
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,781
  Likes Received: 6,267
  Trophy Points: 280
  ChiefmTZ,

  Unatafuta mtoto wa kike wa nini hasa?
   
 7. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #7
  Dec 7, 2010
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,781
  Likes Received: 6,267
  Trophy Points: 280
  Kuna vituo vingi vya watoto yatima. Unaweza kwenda huko na kuchukua watoto wa kike hata kumi broda.
   
 8. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #8
  Dec 7, 2010
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,507
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Unajua huu una watu wengi sana unaweza kubahatisha
   
 9. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #9
  Dec 7, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  humu ndani siku hizi mmh haya!
   
 10. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #10
  Dec 7, 2010
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,507
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Nimebaini kuwa ukiwa na binti utawahi kuitwa babu. Na kwa kuwa nina midume pekee, natamani binti wa ku ballance
   
 11. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #11
  Dec 8, 2010
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,507
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Wala usishangae. Cku hizi jf inalipa
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Dec 8, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  bado tu FATAKI kutafutwa!
   
 13. Atoti

  Atoti Senior Member

  #13
  Dec 8, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 118
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Anaedetermine jinsia ya mtoto ni baba ndg so utasambaza madume mji mzima ukitafuta jike.. Watchout!
   
 14. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #14
  Dec 8, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wewe hauko serious, yani unataka kuzaa na mtu lakini kulea hutaki. Nani anataka huo ujinga wako. Nipe mke wako nimzalishe mtoto wa kike halafu unisaidie kulea. Kwanza nina hasira nimepigwa kibuti.
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Dec 8, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Nakupa hadi asubuhi tayari kutakuwa na mtu anatafuta fataki. Na vile siku hizi multiple IDs ni norm....wala sitashangaa
   
 16. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #16
  Dec 8, 2010
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,507
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Pole kwa kibuti
   
 17. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #17
  Dec 8, 2010
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Mtoto wa kike unae wewe mwenyewe kiunoni. Kama M/Mungu hajakuwekea kiunoni mwako basi hata uchakachue vipi huwezi kumpata. Na hivyo ulivyoonyesha nia ya kumtelekeza, humpati ng'ooo. Omba Mungu akujalie kwa huyohuyo mkeo. Nakutakia kila la heri. Mungu akuepushe na mawazo ya kuzaa nje ya ndoa yako. Amen.
   
 18. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #18
  Dec 8, 2010
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,507
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Ni kweli usemacho, licha ya ku avoid legal processes, lakini pia nahitaji blood related na c vingine.
   
 19. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #19
  Dec 8, 2010
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,507
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Mke wangu ameshafunga kuzaa kutokana na matatizo aliyopata wakati wa kujifungua mtoto wetu wa mwisho. Otherwise nisingehangaika hivi.
   
 20. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #20
  Dec 8, 2010
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,507
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Mkuu Maamuma, ni kweli usemalo. Baada ya kubaini kuwa kupata baby gal is just a matter of timing, ndo maana nahangaika kihivyo.
   
Loading...