We katafute kazi huo ubabaishaji uwezi pata heshima kama mwanaume kwa maisha hayo unayoyataka. hakuna true love katika huo utaratibu unaoutaka. Pambana kijana huo ubabaishaji, kama hujakua rudi kwa wazaz wako wakakulee upya hadi uweze kusimama kivyako.Natafuta Mwanamke wa kunilea kifedha na kimapenzi awe serious in love.Tuma private sms plz!
Natafuta Mwanamke wa kunilea kifedha na kimapenzi awe serious in love.Tuma private sms plz!
Natafuta Mwanamke wa kunilea kifedha na kimapenzi awe serious in love.Tuma private sms plz!
inaonekana unapenda starehe angalia kijana fanya kazi usije wakakupumlia kisogoni wengi wamiengia katika mchezo mchafu kwa ajili ya kupenda anasa wakati hawana uwezoNatafuta Mwanamke wa kunilea kifedha na kimapenzi awe serious in love.Tuma private sms plz!
Natafuta Mwanamke wa kunilea kifedha na kimapenzi awe serious in love.Tuma private sms plz!
Mama ako alivyokulea haijatosha? Shame on you! Tuache kulea wanetu tukulee wewe? Fanya kazi kijana, acha kupenda vya bwerere! Vya bure vinaua yakhe!Natafuta Mwanamke wa kunilea kifedha na kimapenzi awe serious in love.Tuma private sms plz!
Hauwezi kuwa serious, yaani demu akulee kwa fedha na penzi! Mimi nijuavyo akina mam wengi huwatumia vijana kama sex machine tu tena ukibahatika ndiyo utapewa visenti! Lakini taabu yote ya nini kwani wewe ni mlemavu au ni uvivu wa kufanya kazi tu?Natafuta Mwanamke wa kunilea kifedha na kimapenzi awe serious in love.Tuma private sms plz!
Upo sahihi kabisa mama yangu, hii ndiyo midume iliyoimbwa na JD!Mama ako alivyokulea haijatosha? Shame on you! Tuache kulea wanetu tukulee wewe? Fanya kazi kijana, acha kupenda vya bwerere! Vya bure vinaua yakhe!
Ipo siku akiendeleza usharobaro bila kupenda kufanya kazi atapakatwa bila shida yoyote ile.mwanzo wa ushoga huo!
Sante! Hana hata aibu, kijana mzima mungu kamjalia macho, mikono, na miguu anataka alelewe! Wameshindwa kumlea walomzaa, anataka alelewe na wamama wa wenzie, khaaa! Aende huko kwa waarabu atapata wa kumlea!..Upo sahihi kabisa mama yangu, hii ndiyo midume iliyoimbwa na JD!
Mama ako alivyokulea haijatosha? Shame on you! Tuache kulea wanetu tukulee wewe? Fanya kazi kijana, acha kupenda vya bwerere! Vya bure vinaua yakhe!
Khaaah! Yan uporoto ajitume, afanye kazi kwa bidii afu uje umletee baba zima na midevu yake amlee, heee! Una hamu ya kuachika au?heee! Vibaya hvyo. Hebu mwelekeze mpwapwa aje nimlee.