NATAFUTA MWANAMKE WA KUBADILISHANA MAWAZO FULANI. (si uhusiano wa mapenzi)

UZZIMMA

JF-Expert Member
Nov 20, 2014
406
456
Jamani mimi ni mvulana fulani natokea pande fulani. Natafuta binti wa kubadilishana mambo kadhaa.

SIFA ZAKE.
*Awe amepitia kwenye maswala ya mapenzi.
*Awe tayari kuulizwa swali lolote, nami nipo tayari kumjibu swali lolote.
*Umri wowote ila anitajie umri wake

Aliyetayari mlango wa PM upo wazi, tupeane mawasiliano zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom