Natafuta mwanamke moja hapa mzaliwa wa marangu wa kuwowaa!

Mshawa

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
776
306
Nipo SERIOUS, umri wangu ni miaka 28, nina elimu ya form 4, ni mwajiriwa serikalini, nahitaji aliye na umri usiozidi miaka 28, na awe amehitimu 4m 4 na kuendelea, dini yoyote, pls asiwe mfupi, wala mweusi.

Nawasilisha.

umri wako bd sana nakushauri piga shule kwanza ukifika 32 oa usikimbilie ndoa baba

hbu kajiendeleze kwanza na hyo miaka 28 hadi ssa bila mchumba ulikua unashughuli gani ya msingi mana ungekua buz na shule nw labda ungekua na digirii

Nakuelewa Mzee, ila ninahitaji wa kumwekea determination ili ikiwezekana awe mke baadae. Nahitimu barchelor ya kwanza mwakani.

unapokuwa mwongo jitahidi kuwa na kumbukumbu. Mwanzoni ulisema Elimu yako ni ya form 4, ghafla unasema mwakani unamaliza digrii. Kuwa makini mkuu.

unapokuwa mwongo jitahidi kuwa na kumbukumbu. Mwanzoni ulisema Elimu yako ni ya form 4, ghafla unasema mwakani unamaliza digrii. Kuwa makini mkuu.
yaani jamaa hata haeleweki mkuu.................kachanganya mafile

Kuna uhusiano gani kati yako Mshawa na Mangimeli? Post moja unamtaka machame na hii marangu! Ngachoka choki.

Nakuelewa Mzee, ila ninahitaji wa kumwekea determination ili ikiwezekana awe mke baadae. Nahitimu barchelor ya kwanza mwakani.

Mkuu inaelekea una ugonjwa wa kusahau,hebu soma vizuri maelezo yako ya awali.

weee msee msaulifu sana,mara nasoma degree mara form 4,,kaka ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom