Natafuta mwanamke asiye na uwezo wa kuzaa

Shemeji

JF-Expert Member
Apr 9, 2014
260
116
Habari wakuu,

Mimi ni mwanaume, nina miaka 37, nina watoto wawili, niliwapata katika mizunguko ya maisha, ninaishi nao.

Nilipanga kuwa na watoto wawili tu katika maisha yangu.

Kwa sababu hii ninapenda kuwakaribisha wale wote ambao kwa sababu moja ama nyingine hawana uwezo wa kuzaa ili tulee watoto hawa ambao watakuwa watoto wake pia.

Najua wapo hata walioachwa kwa sababu ya kushindwa kuzaa, nawakaribisha sana.

Na wale waliofanyiwa vipimo vikaonyesha hawana uwezo wa kuzaa nawakaribisha pia, hii ni fursa yako ya kufurahia maisha kama mwanamke japo huna uwezo wa kupata mtoto.-

Niko serious, ambaye ana sifa hiyo kuu naomba aniandikie private message kupitia JF ili tufahamiane vizuri.

Asanteni sana na karibuni.
 
Hii mupya!!! Mupya kabisa
Shemeji Daata usidate sana kwani hii ina upya gani, wanawake hawa wapo na unfortunately wananyanyapaliwa huko mtaani, na mimi sihitaji mtoto tena kuna ubaya na upya gani nikimpata mwanamke wa hivyo.-
 
Habari wakuu,
Mimi ni mwanaume, nina miaka 37, nina watoto wawili, niliwapata katika mizunguko ya maisha, ninaishi nao. Nilipanga kuwa na watoto wawili tu katika maisha yangu. Kwa sababu hii ninapenda kuwakaribisha wale wote ambao kwa sababu moja ama nyingine hawana uwezo wa kuzaa ili tulee watoto hawa ambao watakuwa watoto wake pia.

Najua wapo hata walioachwa kwa sababu ya kushindwa kuzaa, nawakaribisha sana. Na wale waliofanyiwa vipimo vikaonyesha hawana uwezo wa kuzaa nawakaribisha pia, hii ni fursa yako ya kufurahia maisha kama mwanamke japo huna uwezo wa kupata mtoto.-

Niko serious, ambaye ana sifa hiyo kuu naomba aniandikie private message kupitia JF ili tufahamiane vizuri.
Asanteni sana na karibuni.

Kwa bahati akaja mke wa hivyo akapata mimba kwako itakuwaje? think twice
 
Shemeji Daata usidate sana kwani hii ina upya gani, wanawake hawa wapo na very unfortunately wananyanyapaliwa huko mtaani, na mimi sihitaji mtoto tena kuna ubaya na upya gani nikimpata mwanamke wa hivyo.-

Maelezo yako Shemeji yamejitosheleza sana lakini mi nimesema ni mpya kwa sababu ndio naisikia kwa mara ya kwanza.
 
Last edited by a moderator:
We unataka tu kulelewa watoto upate na mbunye ya bureee hahhhhaghhha
Ha ha ha, umeichekesha sana, watoto wangu naweza kuwalea mwenyewe sihitaji mtu wa kunilelea, na mbona huwa mnajifikiria kama vitu, unaposema unataka mbunye ya bure huoni kama unajifanya object, jaribuni kuheshimu miili yenu, mimi nahitaji companion, ningetaka mbunye tu ningeenda Jolly's.
 
Wewe omba mungu tu upate mke mwema hayo mavigezo mengine unampata kweli hazai na anakuchekea machoni tu Ila moyoni bonge la chui unalioa tu linakupiga na juju akili hata ya kutunza watoto kwisha hujali tena, watoto wanageuka wauza vitumbua!! Akijua watoto hajawazaa yeye na hawezi anajua hawa ndio warithi wako! Utajuta!
 
Hilo nalo ni neno aiseee,wengi wao huwa na visirani na watoto sababu ya kutoweza kuzaa kwao.Mkuu kuwa makini,inabidi ufanye vetting ya kutosha ya background ya huyo utakayempata otherwise u er risking maisha ya watoto wako
 
Habari wakuu,

Mimi ni mwanaume, nina miaka 37, nina watoto wawili, niliwapata katika mizunguko ya maisha, ninaishi nao.

Nilipanga kuwa na watoto wawili tu katika maisha yangu.

Kwa sababu hii ninapenda kuwakaribisha wale wote ambao kwa sababu moja ama nyingine hawana uwezo wa kuzaa ili tulee watoto hawa ambao watakuwa watoto wake pia.

Najua wapo hata walioachwa kwa sababu ya kushindwa kuzaa, nawakaribisha sana.

Na wale waliofanyiwa vipimo vikaonyesha hawana uwezo wa kuzaa nawakaribisha pia, hii ni fursa yako ya kufurahia maisha kama mwanamke japo huna uwezo wa kupata mtoto.-

Niko serious, ambaye ana sifa hiyo kuu naomba aniandikie private message kupitia JF ili tufahamiane vizuri.

Asanteni sana na karibuni.

Its a gud idea but my worry is iaweza msiwe na mapenz kati enucz yur fcus ni kupata wa kulea nae watoto, labda ungemodiy ur topic and the rest of things mngekubaliana before hamjajingage kwa mahusiano
 
Back
Top Bottom