Natafuta mwanamke anae jua computer

rootadmin

JF-Expert Member
Feb 5, 2018
349
242
Natafuta rafiki wa kike anaejua computer vizuri.
Ajue programming languages kama Php,java,c++ etc.
Awe na uelewa wa mambo ya web designing.
Mwenye uwezo wa kufikiri projects kubwa zenye maana.

Kama upo unaweza ni PM.
 
Mkuu nipo, any deal? Weka wazi kama kuna mtonyo nichangamkie fursa hizo languages zote nazifaham
project ni nying sana ni wewe tu kuwa shapu.. ila sio deal . ni kwamba tunataft deal through projects tutakaz make
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom