Natafuta mwanamke ambae Ana umri mkubwa na hajaolewa

Jiran mwema

Senior Member
Nov 7, 2015
164
103
Habar za jion wanajukwaa!
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 ninaishi mwanza! Ninatafuta mwanamke mweny vigezo vifuatavyo
1:Anizid umri kama miaka mitatu na kuendelea
2:Awe mtanzania
3:Awe hajaolewa
Hii uzi una maana kubwa xna Kwangu kwahyo tafadhar wew mwanamke mweny sifa tajwa hapo juu usipite bila kuniPM
 
Marioooooo
Kitonga

e0e0109cf75475f9f420f1c12d05d6e8.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom