Natafuta mwanamke aliyetayari kuolewa

Adolph Jr

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
5,552
8,625
Kichwa cha habari kimejieleza vizuri....
Mimi ni kijana umri miaka 31 natafuta mwanamke wa kuishi na kuzaa naye umri kuanzi 18-31y ....awe anajielewa na kujitambua...asiwe na mahusiano na mwanaume mwingine...itakuwa poa kama hatokuwa na mtoto wa mwanaume mwingine na kama anao wasizidi wawili...
Imani..dhehebu ama dini yeyote sibagui..
Unaruhusiwa kuuliza kuhusu swali lolote (more details) kunihusu....karibu...
...
 
Mkuu unge specify hayo mahusiano ambayo hatakiwi kuwa nayo na mwanaume mwingine ni yapi. Maana watu wana baba, ndugu, kaka, marafiki n.k

Hayo yote ni mahusiano na wanaume.
Mahusiano ya kimapenzi na mwanaume yeyote atakama ni mzazi......maana itabidi aanzishe mapya na mm
 
Mimi huwa najiulizaga kuhusiana na haya mambo! Hivi chanzo haswa cha watu kutafuta wenza mitandaoni ni nini? Wakati tathmini zinaonyesha wanawake ni wengi haswa kitaani..maybe udomozege..no..sidhani..INSHU ni masuala ya pesa..watu hawana pesa wanataka mtelemko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom