Natafuta Mwanamama ili awe rafiki yangu 'mzurimzuri'

UMESHALIPATA JIMAMA KAKA....???
Marekebisho;
Mimi natafuta Mwanamama sio 'jimama'.

Kujibu swali lako;
Bado sijafanikiwa. Wanaokuja hawana Nia ya dhati.
Nahitaji mtu mwenye vigezo nilivyoainisha na ambae nae anao uhitaji kama mimi kwa Nia ya dhati.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom