dennoo_appliances
Senior Member
- Nov 28, 2018
- 136
- 190
Kama kichwa Cha habari kinavyosema ambaye Yuko dar anicheki, kama amemaliza chuo mwaka huu ndo itakuwa vizuri.
Kwanin unapenda upotoshaji na uongo ni lini nilipost biashara ya matikiti hivi kwanin watanzania tuna penda uzushiUnataka potezea mda watoto wa watu na vi projects mbuzi ambavyo havina business plan!
Hivi ile biashara ya matikiti ya graduates bado ipo au ishakufa? Nauliza tu ndugu zangu nijue
Uzuri mmoja ni kwamba hunijuiKujieleza kwenyewe hujui,dah.
Hapana, computer science au ITFood technologist hutaki?
duuhHapana, computer science au IT
Mtoto halali na pesa, analala na mavi.Uzuri mmoja ni kwamba hunijui
Mkuu unijui inaonyesha ni jinsi gani ulivyokua mjinga, usipende kumjudge vibaya mtu usiyemjuaMtoto halali na pesa, analala na mavi.
Unahamu ya kua litmus paper.?Mkuu unijui inaonyesha ni jinsi gani ulivyokua mjinga, usipende kumjudge vibaya mtu usiyemjua
Kwanin unapenda upotoshaji na uongo ni lini nilipost biashara ya matikiti hivi kwanin watanzania tuna penda uzushi
Nipo apa mheshimiwa nimesoma Bachelor of Computer Engineering .Kama kichwa Cha habari kinavyosema ambaye Yuko dar anicheki, kama amemaliza chuo mwaka huu ndo itakuwa vizuri.
Namba hii hapa 255734826273