Wa makambako njombe songea kama unataka kuja mkoa wa moro wilaya ya malinyi karibu tubadilishane
Idara ya sekondari masomo ya sayansi.
 
Me naomba tu nijuzwe hivi wanaobadilishana vituo vya kazi ni walimu tu au ni kwa watumishi wote?

Nina sababu;
Kila ninaposikia au kuona suala (tangazo) la kubadilishana vituo basi wahusika ni walimu
 
Hello wadau, mimi ni mwalimu, elimu ya msingi ktk wilaya ya Chemba mkoani Dodoma. Natafuta mwalimu mwenzangu ili tubadilishe vituo vya kazi, yeye aje nilipo namimi niende eneo lake! Nahitaji zaidi kubadilisha niende mikoa ya kanda ya ziwa. Asanteni sana.
 
108 Reactions
Reply
Back
Top Bottom