NATAFUTA MWALIMU WA KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI.

Man Ngosha

JF-Expert Member
May 2, 2012
218
225
Hello wadau, mimi ni mwalimu, elimu ya msingi ktk wilaya ya Chemba mkoani Dodoma. Natafuta mwalimu mwenzangu ili tubadilishe vituo vya kazi, yeye aje nilipo namimi niende eneo lake! Nahitaji zaidi kubadilisha niende mikoa ya kanda ya ziwa. Asanteni sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom