Teckla Anne
Member
- Nov 19, 2012
- 7
- 3
Naitwa Teckla, miaka 35 nina mtoto mmoja, Nafanya kazi Dar. Natafuta mume aliye serious na kuanzisha familia. Vigezo awe mkristo na awe na kazi au biashara, hata kama akiwa na mtoto ruksa. Umri kuanzia miaka 34 mpaka 45. Aliye serious ani PM.