Natafuta mume

Teckla Anne

Member
Nov 19, 2012
7
3
Naitwa Teckla, miaka 35 nina mtoto mmoja, Nafanya kazi Dar. Natafuta mume aliye serious na kuanzisha familia. Vigezo awe mkristo na awe na kazi au biashara, hata kama akiwa na mtoto ruksa. Umri kuanzia miaka 34 mpaka 45. Aliye serious ani PM.
 
Naitwa Teckla, miaka 35 nina mtoto mmoja, Nafanya kazi Dar. Natafuta mume aliye serious na kuanzisha familia. Vigezo awe mkristo na awe na kazi au biashara, hata kama akiwa na mtoto ruksa. Umri kuanzia miaka 34 mpaka 45. Aliye serious ani PM.[/QUOTE umri wangu ni chini ya hapo ila nakutaka nifanyeje?
 
Nakutakia mafanikio ya kupata mme bora, ila usijiachie kwa wezi wa mapenzi kwa kuwaza kuhusu umri amini mungu alipokuumba alikupa na mwenza ipo siku utamwona kimiujiza kabisa....Pia maisha yako yawe kioo cha kujitazamia mmeo mtarajiwa
 
Mujuni ushaona Loose Ball huchelewi... Mgambire polepole umri wako akufikirie
 
Naitwa Teckla, miaka 35 nina mtoto mmoja, Nafanya kazi Dar. Natafuta mume aliye serious na kuanzisha familia. Vigezo awe mkristo na awe na kazi au biashara, hata kama akiwa na mtoto ruksa. Umri kuanzia miaka 34 mpaka 45. Aliye serious ani PM.

Ngoja ni edit cv nikutumie.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom