Natafuta mume.

Hiroko

Member
Nov 13, 2012
27
10
Miaka 35 mpaka 40.
Elimu kuanzia form six na kuendelea.
Awe mfanya kazi au mfanya biashara halali.
Awe mkristo.
Anayejiamini kuwa yeye ni kichwa cha familia na mchapa kazi.

Mimi nina miaka 35. mkristo
Elimu degree.
Nafanya kazi.
Kwa aliye serious plz tuwasiliane kwa pm au email valevale1133@yahoo.com.

Kama huna la maana la kuongea piga kimya na utabarikiwa.
Vigezo na masharti kuzingatiwa..
 
Hujui yawezakuwa aliambiwa na Mungu hivyo je Mungu si zaidi ya menopause?na kama aamefata neno la Mungu wewe ni nani uende kinyume na yeye?sara alizaa akiwa na miaka 90,menopause ipo wapi sasa hapo?jitose kama vipi mi tayari ninae Madame B

Hivi menopause huwa inaanzia age ngapi vile?
 
Unatakiwa uanze urafiki, uchumba then awe mume kama mambo yataenda poa.

>Sasa wewe unatafuta mume; huoni unaenda kinyume: akuwa mume, then mchumba thn rafiki

Miaka 35 mpaka 40.
Elimu kuanzia form six na kuendelea.
Awe mfanya kazi au mfanya biashara halali.
Awe mkristo.
Anayejiamini kuwa yeye ni kichwa cha familia na mchapa kazi.

Mimi nina miaka 35. mkristo
Elimu degree.
Nafanya kazi.
Kwa aliye serious plz tuwasiliane kwa pm au email valevale1133@yahoo.com.

Kama huna la maana la kuongea piga kimya na utabarikiwa.
Vigezo na masharti kuzingatiwa..
 
tumezoea kuanza urafiki lakini taratibu ni kuoa, kwani hao wanaoanza na urafiki ndio wanaishia miezi sita baada ya ndoa kila mtu amemchoka mwenzie, dini zote zinakataza uzinzi na huo urafiki ni uzinzi,
Mdogo wangu nakutakia mume mwema na muishi maisha marefu, ila tu si lazima awe degree muhimu awe ni mtu aliye na kazi ya maana na mtu aliyekubali kuchukua dhamana ya ndoa
Ndoa inaandikwa mbinguni na Mungu ndie ajuae , wewe omba Mungu akupe mume alie na heri nawe
Unatakiwa uanze urafiki, uchumba then awe mume kama mambo yataenda poa.

>Sasa wewe unatafuta mume; huoni unaenda kinyume: akuwa mume, then mchumba thn rafiki
 
HAYA SASAAAAAAA!!!! WANA MMEPATA PAKUPONEA KABIASAAAAAA.
Hebu changamkieni tenda kabla dada hajabadili mawazo,
Fanyeni fastaaaa.
 
Hapa JF jukwaa la love connect ni sehemu ya kukatishana tamaa au!!!!!!!!!!?mbona tunakuwa kama vile watoto?
Kama mtu huna cha kupost basi ni heri usome then ukae kimya na si kupist lugha za kejeli na matusi.
 
Hivi menopause huwa inaanzia age ngapi vile?
Menopause inaanza 45-55 years kwa normal woman, but for a smoker, akiwa na medical history i.e drug addict, poor health huwa inawahi, inaweza ikaanza kwenye early 30's au late 60's....kwa hiyo usiogope ndugu just tupa karata yako.
 
menopause inahusiana nini na kutafuta kwake mume?, kwanza menopause ni nini?

au MEN PAUSE je????????????
Menopause ni kukoma kwa hedhi ya mwanamke kiashirio cha kukoma kwa utengenezaki wa mayai katika mfumo wa ovari. Huwa inaanza mwanmke anapofikia umri wa miaka 45-55, ambapo mwanamke hukosa hedhi kwa kipindi cha miezi 12 mfululizo
 
Asante sana kwa elimu. Anyway maana yangu ilikuwa kwamba menopause si kikwazo
 
Halafu itakuwa wa kubonywa tu!

Menopause ni kukoma kwa hedhi ya mwanamke kiashirio cha kukoma kwa utengenezaki wa mayai katika mfumo wa ovari. Huwa inaanza mwanmke anapofikia umri wa miaka 45-55, ambapo mwanamke hukosa hedhi kwa kipindi cha miezi 12 mfululizo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom