Natafuta mume

Uzuri wa mtu uko machoni kwa mtu kwako mbaya kwa wenzako mzuri,in short usichokitaka wengine wanakithamini.How will you feel mtoto wako wa kike akiwa disvalued kama hivyo.Malipo hapa hapa duniani mkuu
my dear sis, tukubali tukatae kuna standards za uzuri zilizowekwa na jamii ambazo ndizo zinatumika ku judge.kujifanya una huruma au una ubinadamu sana hakuondoi hy fact,kwamba kuna watu ni wazur, wengine wa kawaida na wengine ni wabyaaaaa!ngoja niupload picha yangu af unambie kama mm ni mzuri!!
 
Hivi kwa nini usianzishe uzi wako maalum na si kuniletea uzibe hapa?daah mwanaume umekuwa na mashairi kama mtunzi wa taarab!
 
Hivi kwa nini usianzishe uzi wako maalum na si kuniletea uzibe hapa?daah mwanaume umekuwa na mashairi kama mtunzi wa taarab!
we ni mbayaaaaa!, ungekua demu mzuri ungeshapata watu kitaani longi sanaa, we ni mbovuuu. kama unabisha weka picha yko apa wakulungwa wakufanyie analysis.
 
we ni mbayaaaaa!, ungekua demu mzuri ungeshapata watu kitaani longi sanaa, we ni mbovuuu. kama unabisha weka picha yko apa wana wakulungwa wakufanyie analysis.
Sasa ubaya unakuhusuje mtanzania wewe?fungua uzi wako wa kuwananga wabaya.bila shaka huo uzuri wako unaousifia utakuwa 'ladies and gentlemen'
 
Habari zenu JF users,

Mimi ni mwanamke miaka 33, ni mkristo. Niko hapa jukwaani kutafuta mwanaume mwenye kujitambua.

Itapendeza umri kuanzia miaka 33, awe mkristo na mwenye hofu ya Mungu.
Akiwa na mtoto/watoto wasizidi wawili.
Awe mkweli.
Awe anatambua nafasi yake.

Mwenye uhitaji karibu inbox
Ulishapata teyari?
 
Hata wewe kumkadiria mtu tabia kama vile wamfahamu sana nayo Mungu hapendezwi.inaonesha tu si msafi wa moyo
Ukorrrrooffii huo! Anyway nilikuwa natania tu mamii.. nakutakia kila la kheri. Naweza kuja pm au umeshanimaind?
 
Sasa ubaya unakuhusuje mtanzania wewe?fungua uzi wako wa kuwananga wabaya.bila shaka huo uzuri wako unaousifia utakuwa 'ladies and gentlemen'
Wakati mwingine ukianzisha uzi kama huu, jitahidi kujizuia kujibizana na baadhi ya wadau. Maana wengine watakuletea kejeli na dharau ili wakutoe tu kwenye mstari.

Serious men huwa tunaingia pm moja kwa moja! Huwa hatuulizi maswali ya kipuuzi puuzi huku sebuleni. Sema tu ndiyo hivyo, binafsi sijawahi kufanikiwa kwa wale wadau wachache nilio jaribu kuwafuata huko pm.
 
33 years.
Kwa wanaume wa kingoni wewe bado binti mdogo sana.
Je ? Una watoto?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom