Natafuta mume

irene2019

Member
Nov 19, 2018
14
20
Habari za muda huu wapendwa! Niende moja kwa moja kwenye dhumuni langu, nipo hapa kutafuta mume yaani mwanaume ambaye tutaanza nae urafiki kisha mahusiano Mungu akijalia tuwe mume na mke
SIFA ZANGU
maji ya kunde
Sio mnene yani mwembamba kiasi
Miaka 25
Nina mtoto mmoja
Mjasiriamali
Mcha Mungu
Mkristo
SIFA ZA NINAE MTAKA
Awe mkristo
Muajiriwa ama kajiajiri
Mcha Mungu
Miaka 28 mpka 40
Asiwe mnene sanaaa
Mengine zaidi tutajulishana PM
Karibuni
ASAP
 
Why usiweke no apa Irene!! Ikawa rahisi!!
 
Hiki kigezo cha kuajiriwa huwa kinakukosesheni sana watu sahihi...kwani mzazi mwezio hakuwa mwajiriwa na ndiyo sababyu ya mahusiano yenu kutofika mbali?
 
Miaka 25 ....... Mcha Mungu..........Mtoto mmoja..........
...................????????????
Habari za muda huu wapendwa! Niende moja kwa moja kwenye dhumuni langu, nipo hapa kutafuta mume yaani mwanaume ambaye tutaanza nae urafiki kisha mahusiano Mungu akijalia tuwe mume na mke
SIFA ZANGU
maji ya kunde
Sio mnene yani mwembamba kiasi
Miaka 25
Nina mtoto mmoja
Mjasiriamali
Mcha Mungu
Mkristo
SIFA ZA NINAE MTAKA
Awe mkristo
Muajiriwa ama kajiajiri
Mcha Mungu
Miaka 28 mpka 40
Asiwe mnene sanaaa
Mengine zaidi tutajulishana PM
Karibuni
ASAP
 
unakwama wapi Irene yaani mtaani, ibadani kote huko kwenye mizunguko yako umekosa. Pole sana ukipata msinisahau kadi. napenda sana wali wa kwenye shughuli.
 
DUME HILI WAKUU
Screenshot_20191010-224149.jpg
Screenshot_20191010-224310.jpg
 
Hiki kigezo cha kuajiriwa huwa kinakukosesheni sana watu sahihi...kwani mzazi mwezio hakuwa mwajiriwa na ndiyo sababyu ya mahusiano yenu kutofika mbali?
Swali zuri sana. Pia amesema yeye ni mcha Mungu sasa kama yeye ni mcha Mungu ilikuwaje akakubali kuzalishwa katika umri mdogo kama huo? MchaMungu hataki mnene anataka muajiriwa....ha ha ha
 
Swali zuri sana. Pia amesema yeye ni mcha Mungu sasa kama yeye ni mcha Mungu ilikuwaje akakubali kuzalishwa katika umri mdogo kama huo? MchaMungu hataki mnene anataka muajiriwa....ha ha ha
sikatai huenda mtukubadilika kumcha Mungu wakati jua lishazama...huku kumcha Mungu ni kichaka tu cha kujificha na ama kuficha madhambi watu waliyofanya kabala ya huko kumcha Mungu!
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom