Eti apambane na hali yake. Hapo kuna swali la kujiuliza kwann amezalishwa na ndoa hajaiona ,je kama mfupa ulimshinda fisi mbwa atauweza vijana kuweni makin sana na hawa viumbe misone chura tu na elimu ya chuo kikuu ndo ikupambe ww umpende chuo kikuu mbona sahvi haina issue babu wamejaa kitaa tuko nao tunakuja ugali wa misumari na majani ..tafuta mtu ambaye anaendana na ww bhanaAcha uongo aisee, kuoa single maza ni kujitafutia matatizo mkuu, wewe umekosa nin kwa Mungu mpaka uoe single maza? Ina maana watoto wabichi wameisha? Single maza apambane na hali yake au atafute single faza(tena yule ako na watoto zaidi ya wawili) basiiii
Sa ndo amuowe jimama la watu na maisha yake na mtt frm another kisa chuo kikuu usimshauri ivo si mawazo mgondo ni kwamba huwezi kusikia kwa tajiri wanakula viporo sasa watt wakike kibwena we unataka ukomae na mwanamke anayetafuta mume mitandaoni akili au matopeMadem uliowatia mimba na kuwambia watoe ni wangapi? Hakuna wasichana siku hizi kuwa open minded mkuu acha mawazo mgando
Hahahhahaaa we jamaa unajua kutofautisha usongo na uchunguHataki mwanaume awe na mchepuko ilihali tayari mwanamke ana mtoto.. dah haya ni maajabu
Eti unataka kulelewa kama yai ptuuuu.Mimi ni msomaji mzuri wa humu muda mrefu sana,najitokeza kwenu kutafuta mume ambae yuko tayari kwa ndoa na kupima ukimwi.
Wasifu.
Ni mama wa mtoto mmoja.
Naishi Dar es salaam.
Elimu yangu chuo kikuu japo kwa sasa sina ajira.
Umri wangu miaka 30.
Mkristo.
Mwanaume nimtafutae.
Kuanzia miaka 32.
Awe anajitambua na ajue nini maana ya mke na familia na amkubali na kumpenda mwanangu kama mwanae wa kumzaa
Awe tayari kupima ukimwi.
Nahitaji mwanaume aliekuwa serious muda wa kupotezeana sina asiwe na mahusiano yoyote anipende sana na kunilea kama yai maana mie najua kupenda sana na ninajua nini maana ya mwanaume.
Karibuni
Inawezekana kuachana mkuuNB. Waliozaa pamoja hua hawaachani.
At your Own Risk.
Hapana. Hua wanapasha kipolo..Inawezekana kuachana mkuu
Aisee pole sana dada yangu.Mungu ni mwema utapata mtu sahihi.Jiweke jiran na Mungu na penda kusali trust me inaleta sana amani ya moyo.Usiniumize kaka sikupenda hli litokee na nimehangaika sana binafsi mpaka sasa nina uchungu na ninaon aibu nimeharibu kazi,nimeharibu maisha,ndugu wamenitenga nimekuwa na maisha hayakko sawa faraja yangu ni mwanangu na mume inauma sana kuitumikia familia na kuwajali kama wako wakakugeuka na kusahau kila kitu mbaya zaidi na mtoto wamekuachia wamekutesa toka mimba mpaka umejifungua
Utakua unaongelea uzoefu mkuuInawezekana kuachana mkuu
hahhaha asiwe na mahusiano yoyote, yaani hata yale mahusiano mema na jirani zake hutaki madame
Kabisaa.. inawezekanaUtakua unaongelea uzoefu mkuu
Mkuu we katili kwa dada zako aisee.mwenye dada hakosi shemeji ha haaaaMi wadogo zangu wa kike nawaambiaga msikimbilie kuzaazaa huko mbele pagumu, atokee tu boya fulani afanye yake achukue mzigo wakazaliane huko, ila mambo ya kutia mimba afu asepe nimewaambia ntamtafuta huyo baba namtandika hadi nipeleke polisi
Hiyo avata inasadifu andiko lako mkuuKabisaa.. inawezekana
Hiyo avata inasadifu andiko lako mkuu
You look lovely
Sio kwa cheko hilo mkuu
Umeandika kwa uchungu. Pole sana. Ila ndiyo Dunia, na Dunia imejaa changamoto na wenye changamoto ndiyo sisi. Nina imani utampata unayemtaka ila subira nayo ni kitu muhimu.Usiniumize kaka sikupenda hli litokee na nimehangaika sana binafsi mpaka sasa nina uchungu na ninaon aibu nimeharibu kazi,nimeharibu maisha,ndugu wamenitenga nimekuwa na maisha hayakko sawa faraja yangu ni mwanangu na mume inauma sana kuitumikia familia na kuwajali kama wako wakakugeuka na kusahau kila kitu mbaya zaidi na mtoto wamekuachia wamekutesa toka mimba mpaka umejifungua
Eti apambane na hali yake. Hapo kuna swali la kujiuliza kwann amezalishwa na ndoa hajaiona ,je kama mfupa ulimshinda fisi mbwa atauweza vijana kuweni makin sana na hawa viumbe misone chura tu na elimu ya chuo kikuu ndo ikupambe ww umpende chuo kikuu mbona sahvi haina issue babu wamejaa kitaa tuko nao tunakuja ugali wa misumari na majani ..tafuta mtu ambaye anaendana na ww bhana