Natafuta mume wa kunioa, nimechoka kuwa mpweke

Ungetafuta kimarioo ukilee, kikileta dharau unatandika vibao, unakatupia nguo nje unavuta kengine,

Nimesema hivyo sababu unasema upweke tu ndio unakusumbua, kwa umri huo wengi washaoa utaanza kusumbuana na wake zao, ukose amani ya nafsi au hiyo mibaba iliyokomaa ije ikufilisi tu bure.
 
Habari za wikiend wana Jf.

Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza. Mimi nina sifa zifuatazo.
Umri -35
Nina mtoto 1 wa miaka 5
Nimeajiliwa serikalini
Dini yangu mkristo
Mahali ninapoishi kwa sasa ni Kanda ya Ziwa

Mwanaume ninayemhitaji awe na sifa zifuatazo
Awe na umri miaka 38 -45
Awe serious anahitaji mke
Kama ana mtoto ni vizuri zaidi
njoo tuyajenge
 
Mimi nina miaka 28 ila ni mwislamu si utasilimu basi sio case!
FB_IMG_16068258004348850.jpg

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Ungetafuta kimarioo ukilee, kikileta dharau unatandika vibao, unakatupia nguo nje unavuta kengine,

Nimesema hivyo sababu unasema upweke tu ndio unakusumbua, kwa umri huo wengi washaoa utaanza kusumbuana na wake zao, ukose amani ya nafsi au hiyo mibaba iliyokomaa ije ikufilisi tu bure.
Mhhhhhhhhh majanga
 
Habari za wikiend wana Jf.

Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza. Mimi nina sifa zifuatazo.
Umri -35
Nina mtoto 1 wa miaka 5
Nimeajiliwa serikalini
Dini yangu mkristo
Mahali ninapoishi kwa sasa ni Kanda ya Ziwa

Mwanaume ninayemhitaji awe na sifa zifuatazo
Awe na umri miaka 38 -45
Awe serious anahitaji mke
Kama ana mtoto ni vizuri zaidi
Niko tayari. Kwanza pelekeni mtoto kwa baba yake. Alafu njoo tuzungumzee. Mimi aitaji mwanamke wakunizalia watoto. Tutazungumza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom