Natafuta mume wa kunioa, nimechoka kuwa mpweke

Habari za wikiend wana Jf.

Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza. Mimi nina sifa zifuatazo.
Umri -35
Nina mtoto 1 wa miaka 5
Nimeajiliwa serikalini
Dini yangu mkristo
Mahali ninapoishi kwa sasa ni Kanda ya Ziwa

Mwanaume ninayemhitaji awe na sifa zifuatazo
Awe na umri miaka 38 -45
Awe serious anahitaji mke
Kama ana mtoto ni vizuri zaidi
Hapo Kama Ana mtoto umetumia akili, Bora mechi ianze draw
 
Ujataja mapungufu yako kabisa ili mtu ajue... kama ziwa ndala tako sina aka flat hips hakuna huko serekalini niko masijala... mweusi ti au mweupe peeee... unamaliza kabisa ili mtia nia ajue kabisa hizo haraka kati zikoje ... kama ambavyo watia nia ya ubunge wanavo jitokeza maana wanajua mafao milioni 300
 
Ujataja mapungufu yako kabisa ili mtu ajue....kama ziwa ndala tako sina aka flat hips hakuna uko serekalini niko masijala...mweusi tiii au mweupe peeee.......unamaliza kabisa ili mtia nia ajue kabisa hizo haraka kati zikoje ............kama ambavyo watia nia ya ubunge wanavo jitokeza maana wanajua mafao milioni 300
MASJALA kuna ubaya gani mkuu?? Anaweza kuwa hapo ila hutoboi akificha nyaraka zako adimu, jifunze kuwaheshimu sana hawa watu anaweza kukulostisha kirahisi saana
 
Habari za wikiend wana Jf.

Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza. Mimi nina sifa zifuatazo.
Umri -35
Nina mtoto 1 wa miaka 5
Nimeajiliwa serikalini
Dini yangu mkristo
Mahali ninapoishi kwa sasa ni Kanda ya Ziwa

Mwanaume ninayemhitaji awe na sifa zifuatazo
Awe na umri miaka 38 -45
Awe serious anahitaji mke
Kama ana mtoto ni vizuri zaidi
Kibamia vipiii unakubalii
 
nipo kanda ya ziwa pia nahitaji ila naona unanizi miaka miwili kama hautajali niko tayari
 
Habari za wikiend wana Jf.

Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza. Mimi nina sifa zifuatazo.
Umri -35
Nina mtoto 1 wa miaka 5
Nimeajiliwa serikalini
Dini yangu mkristo
Mahali ninapoishi kwa sasa ni Kanda ya Ziwa

Mwanaume ninayemhitaji awe na sifa zifuatazo
Awe na umri miaka 38 -45
Awe serious anahitaji mke
Kama ana mtoto ni vizuri zaidi
Nakushauri tu kwanini usiolewe na baba wa mtoto?
 
Habari za wikiend wana Jf.

Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza. Mimi nina sifa zifuatazo.
Umri -35
Nina mtoto 1 wa miaka 5
Nimeajiliwa serikalini
Dini yangu mkristo
Mahali ninapoishi kwa sasa ni Kanda ya Ziwa

Mwanaume ninayemhitaji awe na sifa zifuatazo
Awe na umri miaka 38 -45
Awe serious anahitaji mke
Kama ana mtoto ni vizuri zaidi
Kanda ya ziwa mkoa gani
 
Napenda single mom ila awe na mtoto wa kike, ila kigezo cha umri kimenitupa nje ya ulingo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom