Natafuta mume wa kuishi nae

Status
Not open for further replies.
kwahio mi nimebadili ID?? Kwahio unahisi nakujua zaidi ya hapa au we ndo unanijua? Lakini kwanini? , changamkia fursa hapo kwa toto la Kagame.
Nawe pia.

Kwanini lakini mnabadili ID hadi tusiwajue ilihali nyie mnajua huyu fulani.

Haya tunamwachia Mungu.
 
kwahio mi nimebadili ID?? Kwahio unahisi nakujua zaidi ya hapa au we ndo unanijua? Lakini kwanini? , changamkia fursa hapo kwa toto la Kagame.
Ningechangamkia fursa ila ndiyo hivyo tena status hairuhusu.

Wewe ni nani?
 
Mbn inajulikana. Unajua kwanini? People are too good into judging!! Take a good example in this scenario. Mtu kaweka bandiko lake, kaweka sifa zake na kaweka na qualification za future husband wake, lakini ona anavorushiwa mawe! Nani atakuwa na guts za kujionesha hivi? Mi mwenyewe ningekuwa na uhitaji wa mtu ningetumia hii njia.
Kwa taarifa zako ukiona Id hasa ya mdada haina uzi hata mmoja. Au inatafuta mpenzi n.k

Jua asilimia 99 ni ID mbadala. chukua hii siri.
 
Mbn inajulikana. Unajua kwanini? People are too good into judging!! Take a good example in this scenario. Mtu kaweka bandiko lake, kaweka sifa zake na kaweka na qualification za future husband wake, lakini ona anavorushiwa mawe! Nani atakuwa na guts za kujionesha hivi? Mi mwenyewe ningekuwa na uhitaji wa mtu ningetumia hii njia.
I second you.

Back to the topic: Who are you sweetheart?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom