Natafuta mume mwenye umri wa miaka 30 hadi 37

Hili ni swali la kitoto sana,mtu anaweza akaupata ila asijue aliupata kwa njia ipi coz kuna njia nyingi,halafu hilo sio lengo la mleta mada,ukijua kaupataje itakusaidia nini? yeye anachotafuta ni mwenza na sio kuweka wazi kaupataje hata kama itakua anajua,
Jitafakari

kuna pepsi hapo unywe nakuja kulipa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
I don't believe if a human being can be cruel like this.This young lady should be appreciated for being open and honest. Most of us we don't know our status yet we are the one talking shits and I'm sure if you go today to test you will be positive and come to apologize.
Aliyekupa hao wadudu kakumbia..???

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana JF

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26. Ninaishi na HIV.

Ni mfupi wa wastani, sio mweupe wala mweusi. Ni mkiristo, ndo nimemaliza diploma ya records management.

Natafuta mwenza wa hali yangu awe mrefu, maji ya kunde, mwembamba, awe na kazi angalau, awe mkristo, atakayenidhiria, atakayenifundisha mengi kuhusu maisha na baadaye kuwa mume na mke.

Aliye tayari karibuni na Mungu awabariki

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole ndg
Pole sana,
Namuomba Allah akupe Subra na mwisho mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I don't believe if a human being can be cruel like this.This young lady should be appreciated for being open and honest. Most of us we don't know our status yet we are the one talking shits and I'm sure if you go today to test you will be positive and come to apologize.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naked truth , thanx dear I appriciate you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom