Habari wana JF,Mimi ni mwanamke mkristo,mwenye umri wa miaka 33, ninaishi moshi lkn ni mtu wa nyanda za juu kusini,Nina watoto 2.Natafuta mchumba ambae Mungu akipenda tutakuwa mume na mke,awe na umri kuanzia miaka 35 na kuendelea,awe mwadventista msabato,mwenye hofu ya Mungu. Akiwa na watoto itakuwa vema,otherwise nyote mnakaribishwa pm.