Habarini wadau wanajf,mimi ni mwanamama miaka 32 natafuta mume tuoane ndoa ya serikali tuu kanisani msikitini hapana...awe na miaka kuanzia 54 hadi 58 na awe mwajiriwa wa ofisi/shirika la serikali ambaye ni ofisa haijalishi kitengo lakini itapendeza kama ni wale wanaofuatwa na DFP AU STK/STL ambaye hana mke kwa sasa na kama ana watoto wasizidi watatu ili tukichanganya na wakwangu wawili wawe jumla watano.nawasilisha