Natafuta mume miaka 54-58

esm

Member
May 8, 2013
31
2
Habarini wadau wanajf,mimi ni mwanamama miaka 32 natafuta mume tuoane ndoa ya serikali tuu kanisani msikitini hapana...awe na miaka kuanzia 54 hadi 58 na awe mwajiriwa wa ofisi/shirika la serikali ambaye ni ofisa haijalishi kitengo lakini itapendeza kama ni wale wanaofuatwa na DFP AU STK/STL ambaye hana mke kwa sasa na kama ana watoto wasizidi watatu ili tukichanganya na wakwangu wawili wawe jumla watano.nawasilisha
 
Kongosho kwanini tupate tabu ya kuingia mfukoni wakati wa kuingia petrol station ?
 
Huyo au hao waliokuzalisha watoto wawili walikuwa na STL/STK? Mimi pia ninafuatwa na gari lakini natafuta mwanamke lakini sio waliotumika extra mileage na kuzalishwa watoto.
 
Huyo au hao waliokuzalisha watoto wawili walikuwa na STL/STK? Mimi pia ninafuatwa na gari lakini natafuta mwanamke lakini sio waliotumika extra mileage na kuzalishwa watoto.
wewe umetumika mileage ngapi?au hujaguswa wewe?
 
...ndoa ya serikali tuu kanisani msikitini hapana
esm, kuna walakini hapo kwenye misikiti na makanisa. Kwa nini hupataki?
...awe na miaka kuanzia 54 hadi 58
Hapa napo! Huyo wa miaka 54 kabakisha mwaka mmoja astaafu kwa hiyari, kwa hiyo unataka kulea mstaafu? Huyo wa 58 kama ni kwa hiyari basi kishastaafu, kama ni kustaafu kwa mujibu wa sheria kabakisha mvua mbili. Assume anataka mzae, mtalea wajukuu?
.. lakini itapendeza kama ni wale wanaofuatwa na DFP AU STK/STL ...
Hapa napo kichwa kinauma. Wanaoendesha magari yao wenyewe hawana nafasi? Kumbuka, hiyo STK/L, DFP itamfuata kwa miaka miwili tu huyo wa 58, then anastaafu. Kwa kuwa utampendea DFP then akisfaatu what happens? Kumbuka una miaka 32 tu!
...ambaye hana mke kwa sasa na kama ana watoto wasizidi watatu ili tukichanganya na wakwangu wawili wawe jumla watano.nawasilisha
Hili la mwisho naona liko sawa sina hoja nalo.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: esm
hahahaha,unataka mapenzi au wataka mali,unataka umpate mwanaume wa umri wa kukaribia kustaafu,ili umrestishe in PEACE.Upate urithi,karagabaho tafuta chako na wewe
 
esm, kuna walakini hapo kwenye misikiti na makanisa. Kwa nini hupataki?

Hapa napo! Huyo wa miaka 54 kabakisha mwaka mmoja astaafu kwa hiyari, kwa hiyo unataka kulea mstaafu? Huyo wa 58 kama ni kwa hiyari basi kishastaafu, kama ni kustaafu kwa mujibu wa sheria kabakisha mvua mbili. Assume anataka mzae, mtalea wajukuu?

Hapa napo kichwa kinauma. Wanaoendesha magari yao wenyewe hawana nafasi? Kumbuka, hiyo STK/L, DFP itamfuata kwa miaka miwili tu huyo wa 58, then anastaafu. Kwa kuwa utampendea DFP then akisfaatu what happens? Kumbuka una miaka 32 tu!

Hili la mwisho naona liko sawa sina hoja nalo.
1.Msikitini/Kanisani ..wengi walioenda huko saa hizi ni majanga yamewasonga
2.Swala la umri naamini atakua keshamaliza michezo yote na mauongo yote ya kucheat kwa mwanamke(matured enough)so kwakua mimi nina watoto naye pia anao kuzaa haipo...
3.Mimi nina gari mbili moja ntampatia ili tufanye mambo mengine na kiinua mgongo,Nadhani nimejibu hoja zako zote Idimi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom