Natafuta muhudumu wa counter na Chef kwenye Bar

sycamore

Member
Mar 14, 2014
36
10
Natafuta mhudumu wa counter wa jinsia ya kike,pia natafuta Chef mwenye uzoefu wa kuchoma nyama ya ngombe na samaki.

Niandikie message 0782003685 usipige, nitapiga. Kazi iko Bukoba mjini.
 
Mkuu na sisi wa kiume tupo pia - mbona unabagua ama una ajenda ya siri.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom