GIPAMA
JF-Expert Member
- May 21, 2016
- 1,103
- 541
Wakuu, amani na iwe kwenu.... Naombeni mwenye muhtasari wa somo la kiswahili kwa shule ya msingi anisaidie hapa, nipo sehem ya mbali kijiografia nimeshindwa kuipata kwa namna nyingine.
Vilevile huku tukiutafta muhtasari, mwenye kujua mada za kiswahili darasa la sita na la saba aniorodheshee mada ya kwanza hadi ya mwisho.
Asanteni.
Vilevile huku tukiutafta muhtasari, mwenye kujua mada za kiswahili darasa la sita na la saba aniorodheshee mada ya kwanza hadi ya mwisho.
Asanteni.