Natafuta mwekezaji katika shamba langu heka 10 mkoa wa Arusha

Sudysmile

Member
Jul 14, 2021
45
52
Napatikana Arusha, shamba liko maeneo ya Nduruma. Shamba liko full drip kwa ajili ya irrigation nahitaji mtu tutakayeingia ubia tufanye kazi ya kilimo pamoja .

Tunatumia diesel kujaza maji kwenye bwawa. Bwawa lina uwezo wa kuingia maji lita ml 1.2 maji yakatokea kwenye kisima mita 107. So gharama za kuvuta maji kuweka kwenye bwawa ni kubwa.

Kujaza bwawa ni gharama Kati ya 500k, kwa msimu ni kama ml 3 . Kuna mahali pa kukaa kwahyo hamna safari ya kwenda na kurudi.

Hapo hujaingiza gharama za kulima na madawa. Kama upo tayari na kilimo hichi michelin kwenye .

Dm me for more info.

1.JPG
 
Mazao gani yanastawi shambani kwako, na soko liko vipi
nyanya,maharage, mahindi na hoho, na kabeji aridhi iko na rutuba ya kutosha kwani haijatumika kwa kilimo zaid ya mahindi na maharage kipindi cha nyuma

masoko ni ww uamuzi uamue kupelema sokoni ww mwnyw au wake shambani na mara nyingi huwa wanakuja shambani
 
Napatikana Arusha, shamba liko maeneo ya Nduruma. Shamba liko full drip kwa ajili ya irrigation naitaji mtu tutake ingia ubia tufanye kazi ya kilimo pamoja .

Tunatumia diesel kujaza maji kwenye bwawa. Bwawa lina uwezo wa kuingia maji lita ml 1.2 maji yakatokea kwenye kisima mita 107. So gharama za kufuta maji kuweka kwny bwawa ni kibwa.

Kujaza bwawa ni gharama Kati ya 500k, kwa msimu ni kama ml 3 . Kuna mahali pa kukaa kwahyo hamna safari ya kwenda na kurudi. Hapo hujaingiza gharama za kulima na madawa. Kama upo tayari na kilimo hichi michelin kwenye .

Dm me for more info.

View attachment 1852538

View attachment 1852540
Hiyo gharama ya kutoa maji kwenye kisima cha urefu wa mita 107, unaweza kuipatia ufumbuzi kwa kufunga solar pump, gharama ya solar pump ni kubwa ila ni one time cost tu baada ya hapo unakupunguzia running cost kwa asilimia kubwa sana na milele.
unaweza kununua pump kwa tshs 6,500,000 full complete system + installment services. wasiliana nami.
bei za solar.jpg
 
View attachment 1871131
Nahitaji kupata ufafanuzi juu ya solar pump ili ninunue
 
Huwa inatoa maji kiasi gani kwa lisaa kaka?
 
Kisima cha mita 70 -Tshs 1,800,000, inatoa 360 L/h
Kisima cha mita 80 -Tshs 5,000,000, inatoa 1800L/h
Kisima cha mita 120 - Tshs 6,500,000, inatoa 2100L/h

Bei hizo zina cover
-Dc submersible pump
-Charge Controllers
-Solar Panels
-Metal fabrication works
Accessories(rape, insulation kit, copper cable, PVC pipe)
-Installation service
 
Alooo hy si nitakaa mwaka kujaza bwawa la lita 1.2 m braza ? Yan hapo nimepiga lita 1.2 m gawa kwa 2100 lita wapata utalijaza kwa masaa 500 plus hamna ya lita 10000 kwa saa hyo ndo itakua optn nzr
 
Sudysmile unaweza kuchukua hadi inayojaza lita 30,000/hour ila sasa factor nyingine inayoangaliwa ni chanzo kipi cha maji unatumia, labda tuanzia hapa!!!!!
 
maeneo ya mwandeti kama unapata mkuu
Kaka Mwandeti mbona ipo mbele ya Ngaramtoni? Nduruma ninapopaelewa mimi ni kushuka chini ya mashamba ya maua kama unaelekea bwawani!

NB: I stand to be corrected Mkuu🙏🙏🙏
 
Ni chini ya mashamba ya maua unashuka mpk stand ya haisi unazid shuka kama waelekea bwani bro ndo napatikana huko
 
Asante Mkuu kwa Clarification. Lakini pia samahani sana kama ntakua nakukera kwa maswali yangu Mkuu; Ukishuka kama unaenda bwawani ni lazima ufike vituo vifuatavyo:

Moshono, Chekereni, Njiapanda (kabla ya Gomba/Corner ya Mlangarini/Dekker), Anglikana/Mission, Kwa -redding, Kwa Robert, Mlangarini shuleni/Corner ya Manyire, Nduruma, Unguuni, Mungushi to Bwawani:

Swali langu ni wapi hilo shamba lako linapatikana katika vituo hivyo?

cc @ Mlolongo & Sudysmile
 
Sasa mbona ulisema Mwandeti. Ulikua una danganya?
Nduruma ni kubwa

Nduruma( unguuni) ambapo ndo stand ukifika hapo unachukua boda boda unawaambia unaenda mwandeti... Hichi ni kitongoji kinaitwa mwandeti na shamba ndo lilipo hamna uongo wa aina yoyote boss.
 
Asante Mkuu kwa Clarification. Lakini pia samahani sana kama ntakua nakukera kwa maswali yangu Mkuu; Ukishuka kama unaenda bwawani ni lazima ufike vituo vifuatavyo:

Moshono, Chekereni, Njiapanda (kabla ya Gomba/Corner ya Mlangarini/Dekker), Anglikana/Mission, Kwa -redding, Kwa Robert, Mlangarini shuleni/Corner ya Manyire, Nduruma, Unguuni, Mungushi to Bwawani:

Swali langu ni wapi hilo shamba lako linapatikana katika vituo hivyo?

cc @ Mlolongo & Sudysmile
Kwa ufupi ww ukifika nduruma stand ambapo pia panaitwa uunguuni ww chukua boda boda waambie waelekea mwandeti wanakufikisha boss
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom