WINCH
Member
- May 3, 2016
- 71
- 23
Habarini WnaJF.
Nahitaji kufanya biashara ya mgahawa na chips Dar, lakini nahitaji mtu wa kusimamia/kushirikiana naye.
Vigezo:
Sijapata eneo nina imani uzoefu wake utasaidia kupata eneo zuri la kufanyia biashara.
Aliye tayari anicheck PM tuyajenge
Nahitaji kufanya biashara ya mgahawa na chips Dar, lakini nahitaji mtu wa kusimamia/kushirikiana naye.
Vigezo:
- Awe mwaminifu,
- Aliye tayari kuchapakazi na mzoefu
- Awe anajua maeneo ambayo biashara yetu inaweza kufanya vizuri na hatimaye tukaitanua/kuikuza zaidi.
Sijapata eneo nina imani uzoefu wake utasaidia kupata eneo zuri la kufanyia biashara.
Aliye tayari anicheck PM tuyajenge