Kama huna cha kujibu bora ukae kimya. Wanasema bora kukaa kimya nakuonekana unajua kuliko kufungua mdomo na kuthiirishia umma ulivyo mtupu. Kila nacho post ndio jibu hilo hilo unatoa. Inaonekana wewe mjane na unaendeshwa kwa hisia zaidi ya reasoning. Kuna tiba nitakuponya kisaikolojia kwa vile kila jamii ina watu kama nyie na mko ili sisi tujione ni kiasi gani tumebarikiwa na Mungu.
Ngoja nikamwambie bibi yangu akushushe busha la kilogram 8.Tena hao ndio hawalogi kabisa sema wanajua kumtuliza mwanaume kumpa..... kisawasawa refer to my last thread... kuwa watoto wa imani ya.... ni noma. Sasa mwanaume anakuwa zuzu akiambiwa mguu pande na mguu sawa anaenda. So hakuna uchawi
Wakuu,
Nina miaka 4 sasa nafanya utafiti kuhusu kuwepo kwa uchawi sijapata kujiridhisha kihalisia kuwepo kwa ushirikina.Nimetembelea maeneo yote yanayosemekana ni maarufu kwa ushirikina kama Tanga, Sumbawanga, Pemba na Bagamoyo. Huko pemba nimefika maeneo ya wete kuna kamsitu wanasema ndio hatari kwa wachawi kukaa na kufanya matambiko kuna makaburi ya zamani sana walisema tukifukua tutakufa kwa vile tutachokoza 'wazee' tumefanya excavation vizuri tukakuta artifacts na masufuria ma hirizi na mavitambaa mekundu na meusi na manyoa, ni mwaka sasa na mpaka sasa hata mafuta hakuna aliye pata kwenye team yetu. Tulilala hapo hapo makaburini kwa kutumia tent hata mbu hakutun'ata.
Sasa swali ni kwamba mtu anasema ooh nimelogwa na kukimbilia kwa hawa watumishi fake wa Mungu na kusema wamepona, wamenpona nini? Mimi nimeomba wazee waniloge wakasema wameniloga sitozaa kabisa kwa sasa na miaka 28 na watoto 6 na wana afya nzuri na nimepima DNA ni wa kwangu.
Kama kuna mtu amelogwa au anaweza kuniloga atoe fact hapa.
Mzizi mkavu Asprin Bujibuji Nyani Ngabu faiza Fox Yericko Nyerere
Mkuu cha umri na idadi ya watoto hapo sishangai nina jamaa yangu alipokuwa na umri wa miaka 26 tayari alikuwa na watoto saba............hakuna housegirl wa kwao alietoka salama achilia mbali videm vya mtaani....so kwa idadi ya wtoto wa mshkaji na umri wake wala sishangai.kikubwa tayari ameshalogwa na ye hajijui kuwa keshapigwaMkuu ulisharogwa siku nyingi, kwa umri wako na timu ya watoto ulionao!
Sent from my BlackBerry 8900 using JamiiForums
Kuna Mtanzania mmoja alisema kuwa yoyote atakayemgusa kwa lengo la kumdhuru atawaangamiza ukoo wake wote kwa uchawi, hata PANYA hawatabakia.
Kama uko serious, mtafute huyo Rais umdhuru utajua kama uchawi upo au lah.
hilo la watoto naomba mliache kwa sasa. Siko kuelezea maisha yangu binafsi naulizia uchawi. Kuna member wanaonijua uhalisia wangu na hao watoto kwa mfano bujibuji na @aspirin. Nikielezea nilivyopata hawa watoto itakuwa thread maisha yangu ni muujiza tosha kaka.
Umenikwaza kwa neno boja tu ulilotumia la kejeli kwamba "Watumishi feki wa Mungu" Kuwa makini na kauli zako
Frank Joram Mwanga babu yangu anaitwa Mvungomali eneo nalotokea ni Rombo mkuu Moshi