Natafuta mtu wa kunifundisha biashara !! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mtu wa kunifundisha biashara !!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Cash King, Jul 22, 2012.

 1. C

  Cash King Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Habari zenu wakuu...

  Mimi ni kijana mchapa kazi, niko fit na mwenye bidii sana. Nina amini Mungu amenijalia kipaji cha kuelewa vitu kwa haraka na kuhisi matokeo ya kazi/shughuli flani, nina amini nimejaliwa kipaji cha kufanya maamuzi ya busara na ni mtunzaji mzuri wa pesa na mali....Najiamini mimi ni mtu ambaye ni mwaminifu sana, mwenye msimamo, uwezo wa kujituma na kufanya kazi kwa bidii ili niweze kutimiza lengo kwa muda uliopangwa nk...... Nimehitimu elimu ya chuo kikuu katika fani usimamizi wa biashara (Business Administration) lakini sijabahatika kupata kazi yenye mkataba, Ni vibarua vya hapa na pale na biashara zangu ndogo ndogo ndio zinanipa mkate wa kila siku kwani maisha kiujumla ni magumu sana. Mimi ni kijana mwenye maono na malengo ya kufika mbali katika maisha yangu. Nimeona dunia ya sasa ni kupambana na kujiajiri mwenyewe...lakini tatzo sina experience na ujuzi wa kujiajiri mwenyewe niweze kufika kwenye level ya mafanikio...ninahitaji mtu wa kuni coach na kuni direct on building up a successful business ili na mimi niweze kujikwamua kiuchumi ....Elimu ya darasani haitoshi inahitaji utendaji mtaani pia...

  Ntashukuru sana kwa mawazo yenu na kupata mtu wa kunifundisha na kunitambulisha kwenye system na mitandao ya kibiashara...Mimi niko tayari kuingia mzigoni. For any private details ni PM.

  Thanks.
   
 2. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,125
  Trophy Points: 280
  Mkuu, kama nimekupata unahitaji Practical education make theory umeipata huko Chuoni, Ok mkuu mimi nazani Practical Education utaipata kupitia Aidea yako na jinsi unavyo practice ndo the more utakavyo fanikiwa,

  Na mara nyingi wajasirimali hujifunza kupitia kushindwa kwao, THOMAS EDSON ALIJIDUNZA KUPITIA KUSHINDWA KWAKE MARAKWA MARA,

  Kushindwa katika Biashara kwa mara ya kwanza ndo Sehemu pekee na ya muhimu sana ya kujinza, Mfano leo hii ukifunfua Mgahawa wa Chakula then baada ya miezi sita ukushindwa kuendesha kutokana na mistake mbalimbali, Utakapo fungua tena kwa mara nyingine hutashindwa kwa sababu usha jifunza from the experience

  Hizi za kufundishwa na watu sio nzuri kabisa mkuu asikudanganye mtu kwamba kuhudhuria semina za Ujasirimali ndo Hutaweza kufeali katika Biashara, Bali unatakiwa Kijifunza wewe mwenyewewe kupitia wazo lako la BIASHARA na kupitia makosa ya kila siku ndo hapo utakapo Jifunza ZAIDI

  “Starting a business is like building a ship and embarking on a voyage, armed with a plan, a map and a team. You have to sail with uncertainty against storms and unpredictable weather. If your ship sinks, it’s either you quit or you swim back to shore, build a new ship and sail again"
   
 3. C

  Cash King Member

  #3
  Jul 22, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nakuelewa mkuu....tatzo kuanza mwenyewe from scratch it's risky and you might loose a lot of money....Nataka kujifunza kupitia experience ya waliofanikiwa ili mimi nisirudie makosa yale yale...Thats what we call LEVERAGE..Yeye atanionyesha an updated way of doing business....that way sintorudia kukosea...I'll be on tha fast truck making profits...Other successful people's experience could be my experience too......Alaf kitu kingine anaweza kunionyesha njia na michakato ya kutoka ....alaf chochote nitakacho kua natengeneza....kuna fungu ntakua nampa mara kwa mara. Ina maana kwamba yeye atakua anatengeneza pesa kupitia biashara zake mwenyewe na percent flan kupitia faida za biashara zangu mimi (ambazo yeye amenifundisha)....huo ndo utakua mkataba wangu nae !! Sijui kama unanielewa ??
   
 4. REX

  REX JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 330
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ok! Hongera sana kijana kwa uwezo ulionao lakin kuna mambo machache naomba uyazingatie katika biashara yoyote utakayofanya.elim yetu tunayoipata mashulen zaid inalenga kuandaa waajiliwa na wataaluma ambao taifa linawategemea sana ili waweze kulipa kod na mambo yaweze kwenda lakin kuna sehem muhim sana ya elim,financial education (pesa) inayokosekana and thats why most people are in financial trouble today.The reasons we are in financial trouble today is because we are still using the old rules of money,kwenye thread yako umesema we bingwa sana wa kutunza pesa and the current world SAVERS are the LOOSERS hivyo ndugu yangu kama kweli unataka biashara utakayofanya ikutoe naamin zipo nyingi sana lakin badili mtazamo wako na tumia new rules of money with reference to the changes that happened in 1971/72 in which the money stopped being a money and changed into currency that allowed the federal states to print money,this is very important as far as money is concerned.knowing the new rules of money is real essential for your safety.mim naamin sana biashara ya mtandao na ninasababu nyingi za kuiamin hii biashara na siyo mim tu naamin ktk biashara ya mtandao kuna wafanya biashara na matajiri wakubwa dunian wanaoiamin biashara ya mtandao kana
  -robert kiyosaki
  -jim rhon
  -bil clinton
  -waren buffet
  na wengine wengi na wanaimin kwa nafas ya mafanikio yanayotolewa na hizo fursa.mim nafanya biashara yangu na kampun ya kimataifa ambayo ni mabingwa wa utengenezi na usambaji wa bidhaa za aloe vera na nyuki kwa ajili ya afya na urembo iitwayo FOREVER LIVING PRODUCTS si kampun ya kwanza dunian ktk biashara ya mtandao ni ya SITA kati ya makampun yanaongoza dunian na binafsi napenda kutrain na kukoach vijana wenye kiu ya mafanikio na wapo tayari kuielewa,kuiamin na kufanya kaz na kampun yetu.karibun sana usisite kunitafuta kwa namba 0715720276.
   
 5. C

  Cash King Member

  #5
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13

  I agree network marketing is a valid business but not all companies are valid !!
  ...Niliwahi kua FLP but nikajitoa sababu Hii kampuni na nyngne nyingi zinawaibia sana wananchi.....kupitia compensation plan zao....zimekaa vibaya mno, zimebanwa sana kiasi kwamba wewe uta fail from the very beginning. Na nina mifano hai na solid envidence (USHAHIDI WA KUTOSHA)....Jamaa flan hivi humu JF alinishirikisha na kunielewesha vizuri nikaelewa. Pia aliwahi kuweka thread humu ndani ya jinsi wananchi wanavyoibiwa pesa nyingi kupitia compensation plan ya hizo kampuni....A studied and a proved report internationally ilieleza A to Z on the dirty little secrets about these companies. Wananchi walipiga kelele sana....Hio thread ikafutwa....Ila kama unataka mkanda wote we ni PM ntakuonyesha. Unahitaji akili ya ziada katika kuchagua kampuni thabiti na nzuri ya kufanya nayo kazi......And we have a proven and successful formula on doing this. Niko kwenye kampuni nyingine kwa sasa inayolipa na kufanya vizuri. So far imekua tishio huko kwenye mabara ya ulaya na america...Yeyote atakae fata formular hiyo hufanikiwa kwenye Network Marketing (Biashara Ya Mtandao) kabisa. Kurudi kwenye mada ya kwamba mimi najishughulisha na hizo biashara za mtandao pia na zinatoa kwa kiasi chake lakini bado ninafungua milango ya kujifunza mifumo mipya ya biashara kutoka kwa waliofanikiwa...kwani binadamu hatoishi kwa mkate tu....Nipo tayari kujifunza mambo mapya !!
   
 6. chash

  chash JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  In other words, hutaki ku-risk hela yako ndogo ila unataka utumie ya mwingine kufanyia mazoezi ya biashara. Very clever. Sasa weka ideas zako za biashara hapa jamvini tuzikosoe nawewe uzitetee. itakuwa vizuri zaidi kwa sababu hakuna hela itakayopotea. Ukionekana kuwa na ideas kali kali basi natumaini utaweza kumvutia investor hapa hapa.
   
 7. k

  kisukari JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,757
  Likes Received: 1,047
  Trophy Points: 280
  nimeipenda confidence yako
   
 8. CONSULT

  CONSULT JF-Expert Member

  #8
  Jul 24, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Natafuta mtu kama wewe tafadhali nitafute, nahisi tutafanikiwa
   
 9. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #9
  Jul 24, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Wise people learn from others mistakes while.......................................................
   
 10. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160

  Umeona KI- Sugar the guy has guts and open mind...................kama ni disciplined the success is a matter of time...............best of luck to him..

  Kama vijana wengi tungekuwa hivi kwa kweli huu upuuzi wa SSRA wala leo isingekuwa janga.....!!!!!!!!!
   
 11. C

  Cash King Member

  #11
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Thanks for your comments wakuu...ntashkuru sana kama nikipata mtu wakunisaidia katika hili au kama kuna mtu yeyote anayewafahamu watu na kuni introduce kwao it will really be a great thing naahidi sitomwangusha....Mungu awabariki !!
   
Loading...