Acha Dhambi
Senior Member
- Oct 19, 2010
- 145
- 41
natafuta mtu wa kufanya nae biashara ya T shirt za shule ni kuanzia T shirt 200+ kampuni au mtu binafsi kuna tenda ya shule nimeomba za nembo za zisizo na nembo. wasiliana nami kwa pm
Kaka bado unataka yule mtu wa kuprint t.shirt? kama bado nicheki ili tufanye kazi kwa kiwango haswaa namba yng ni:-0712 75 16 99.natafuta mtu wa kufanya nae biashara ya T shirt za shule ni kuanzia T shirt 200+ kampuni au mtu binafsi kuna tenda ya shule nimeomba za nembo za zisizo na nembo. wasiliana nami kwa pm