muksinihamisi
Member
- May 1, 2020
- 14
- 6
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22, nimemaliza Elimu ya Secondary mwaka 2017. Nashukuru nilipata ufaulu mzuri ila sikuweza kuchaguliwa hvyo kutokana na uchumi sikuweza kuendelea na masomo bali nikajiingiza kwenye Ujasiliamali na kuweza kupata ujuzi wa kutengeneza bidhaa mbalimbali za viwandani kama vile sabuni za miche aina zote ikiwema Medicated Soap aina tofauti tofauti, sabuni za maji aina zote, kama vile sabuni za kudekia (tiles cleaner) handwash, jik, shampoo nk.
Pia, utengnezaji wa mafuta ya mgando, lotion nk. nimeshinda kukuza hii idea kutokana na capital. Hivyo naomba mtu ambaye tutaweza kushare idea na kuikuza wenda tukafanya kitukibwa zaidi
Pia, utengnezaji wa mafuta ya mgando, lotion nk. nimeshinda kukuza hii idea kutokana na capital. Hivyo naomba mtu ambaye tutaweza kushare idea na kuikuza wenda tukafanya kitukibwa zaidi