natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi jamani

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kalunguine, Jan 19, 2012.

 1. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  [h=6]jamani ee,nimepangwa kituo cha kazi ya ualimu ileje mbea,afu mie spataki,kama kuna anaedhani anaweza akafanya kazi kule tubadilishane basi wandugu.[/h]
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  Kama unakupenda same ni pm
   
 3. Da Pretty

  Da Pretty JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 3,050
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Hutaki Ileje au mkoa wa Mbeya kwa ujumla?
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Mie nimepangwa Tandahimba, naomba tubadilishane nisogee karibu na mchuchu manake yeye kapangwa Makongolosi
   
 5. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,873
  Likes Received: 1,560
  Trophy Points: 280
  mkuu tandahmba ni noma? Watoto wanaongea kimakonde darasan mimi nlkuwa huko ktk field ya mwaka wa kwanza, ntajie shule ulyopangiwa kwa pm nkupe mazngra yake
   
 6. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Nimepangwa Kigoma kama upo tayari niPm mkuu
   
 7. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kwa nini hutaki huko Ileje? nakushauri uende tu kwa sababu maisha ni popote. Kikubwa unachotakiwa kikufanya ni kwanza kutochukia mazingira na ukifanikiwa katika hilo utaziona opportuniyies kibao. Kuna watu ambao zamani walikuwa wakikataa kuhamishiwa mikoa ya kusini, baadhi walikubali kwenda. Hivi leo, waler waliokwenda wameji-establish huko kiasi kuwa hawana kabisa wazo la kuhamia sehemu nyingine
   
 8. TASLIMU

  TASLIMU Senior Member

  #8
  Jan 20, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu vp tena,mbona unataka kukimbia,njooooo bana,karibun kigoma vijijini,mambo safi
   
 9. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Tubadilishane, njoo Rorya mi nije Ileje.
   
 10. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #10
  Jan 20, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  mm nimepangiwa Kisimiri huku karibu na olkokola!
   
 11. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #11
  Jan 20, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  same mjini au,kama ni mkoa wa kilimanjaro tuwasiliane kwa email hii: mashakayurita@yamail.com
   
 12. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #12
  Jan 20, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kwa mkoa wa mara hapana ndugu yangu make huko nasikia hata ukigongwa na baiskeli wewe ndo wa kuomba msamaha vinginevyo ni mapanga,naogopa kufa kabla sijaanza kazi
   
 13. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #13
  Jan 20, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135

  tatizo ni swala la wazazi,manake wanahitaji uangalizi wangu,so naangalia eneo la karibu na mwanza
   
 14. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #14
  Jan 20, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  huko hata sjawahi kupasikia,siwez kuja
   
 15. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #15
  Jan 20, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kama ni kigoma mjini ntakuja,tuwasiliane kwa mashakayurita@ymail.com
   
 16. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #16
  Jan 20, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135

  kama ni mbeya mjini ntakuja. tuwasiliane mashakayurita@ymail.com
   
 17. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #17
  Jan 20, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  tandahimba huko mtwara sidhani ndugu
   
 18. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #18
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ha ha haaaa...!
   
 19. s

  sawabho JF-Expert Member

  #19
  Jan 20, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Kanuni na taratibu za ajira zinaelekeza kuwa unaweza kufanya kazi eneo lolote Tanzania. Hiyo tabia ya kupenda kukaa mijini tu haifai, kuwa tayari kuishi mazingira yoyote yale, ili siku ukiwa Mwakilishi wa Jimbo lako ukae kijijini kwenu.
   
 20. s

  sawabho JF-Expert Member

  #20
  Jan 20, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Eee, hii kali huo mkoa unatakiwa upakane na Al-Shaabab.
   
Loading...