Natafuta mtu wa kubadilishana nae king'amuzi

ipatama

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
348
228
Wadau nipo mbeya (city centre) natafuta mtu wa kubadilishana nae king'amuzi, mi ninacho cha azam mi nataka anipe cha star times.
Hakijatumika sana nimenunua mwezi wa nane mwaka huu.

Kama upo tayari nicheki PM.
 
Poa nilishaanza kukifungua maana kesho naenda TUKUYU nilitaka nikupitishie hapo
 
Ushirika pale hamna ila imeishia Tukuyu mjini hadi nambaone pale
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom