Natafuta mtu wa kubadilishana nae king'amuzi

Wadau nipo mbeya (city centre) natafuta mtu wa kubadilishana nae king'amuzi, mi ninacho cha azam mi nataka anipe cha star times.
Hakijatumika sana nimenunua mwezi wa nane mwaka huu.

Kama upo tayari nicheki PM.
Nitafute kwa 0764001920 ni kile cha zamani mkuu
 
world focus,word football, sport arena,

chanel za movie kuna etv,ams,star series hizo ni baadhi tu ya chanel

bado kingamuz cha startimes kwangu naona ndyo bora hvyo vingne mbwembwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom