NOKIALUMIA

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
396
275
Mtu wa kubadilishana kituo cha kazi anahitajika, mimi nipo Dodoma Mpwapwa DC.

Kituo ni kizuri, mazingira mazuri, maji yapo, usafiri upo 24hrs. Wa kubadilishana nae awe mikoa ifuatayo;

1. Iringa
2. Mbeya
3. Morogoro
 
Habari wapendwa
Natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kada ya nursing (EN/RN), mimi niko Arusha Longido DC nataka kuhamia Singida. Naomba tuwasiliane.
 
Nipo RUKWA Nataka kwenda MBARALI aliye tayari no 0623848123 Idara elimu msingi, Ila hata sek naweza kwenda kwa kuwa msingi nimeazimwa tu masomo, HIST/KISW.
 
Habari wakuu.

Kama kuna mwalimu wa idara ya msingi aliyeko mkoa wa Dodoma, au Mbeya wilaya yoyote katika mikoa hiyo na angehitaji kuhamia manispaa ya Tabora naomba tuwasiliane, kuna mtu anahitaji kubadilishana nimuunganishe nae. PM.

Ahsante.
 
Natafuta Mwalimu wa kubadilishana kituo Cha kazi idara ya Elimu Sekondari.

Yeye aje Tandahimba, Mimi nije Mbalari, Iringa, Njombe au Mbeya.

Ahsanteni

Namba ya Simu 0766877120
 
Njoo Moshi DC mimi nije Arusha dc 0757012317 wahi nafasi ni chache sana idara ni sekondari
 
Habari wakuu, wadau na wakongwe wa JamiiForums.

Mm ni mmoja wa wapenzi wa taasisi hii, nimeanza kuifatilia na kusoma machapisho mbalimbali pasina kuwa member wa mtandao huu. (From 2018-2023)

Mada Kuu.
Nipo katika harakati za kubadilisha mazingira ya kazi. KITUO CHA KAZI nilicho kwa Sasa ni BUKOBA DC mkoa wa KAGERA, kada ya KILIMO. KITUO ninachopendelea kuwepo ni KITUO chochote kutoka mikoa ifuatayo MBEYA,TANGA,PWANI na MOROGORO.

Asanteni.
 
Search humu kuna special thread ya hizo mambo zenu za kubadirishana vituko.
 
Habari wakuu, wadau na wakongwe wa JamiiForums.

Mm ni mmoja wa wapenzi wa taasisi hii, nimeanza kuifatilia na kusoma machapisho mbalimbali pasina kuwa member wa mtandao huu. (From 2018-2023)

Mada Kuu.
Nipo katika harakati za kubadilisha mazingira ya kazi. KITUO CHA KAZI nilicho kwa Sasa ni BUKOBA DC mkoa wa KAGERA, kada ya KILIMO. KITUO ninachopendelea kuwepo ni KITUO chochote kutoka mikoa ifuatayo MBEYA,TANGA,PWANI na MOROGORO.

Asanteni.

Kilimo unataka kuhamia pwani?? nenda songea,mbeya,katavi n.k

Taratibu zinajulikana nenda halmashauri unayotaka kuhamia ulizia kama kuna uhitaji na nafasi ya kuhamia,wakikubali andika barua ya kuomba nafasi ya kuhamia hapo,barua itapita kwa mkuu wako wa idara,mkurugenzi wako kwenda kwa mkurugenzi wa halmashauri unayotaka kuhamia.

Ushauri ongea vzri sana na mkuu wako wa idara.
 
Habari ndg zangu Kuna mtu NURSING OFFISER II yupo singida REFERAL HOSPITAL anataka KUHAMIA DSM/PWani any refeeral hospital WILAYA yoyote. Mwenye connection ya mtu wa dar yyte anaetaka kwenda Singida RRH tafadhali. Tuwasiliane 0783973428
 
Hello wakuu...
naomba shuhuda ambae ashawahi volunteer hospitali ya serikali af akawa reccomended na akaajiliwa
 
Habari zenu ndugu zangu..poleni na majukumu ya kila siku,

Mimi ni mtendaji wa mtaa kutoka halmashauri ya jiji la Tanga nahitaji mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka manispaa ya kinondoni, temeke, au ubungo anaehitaji kuja Tanga mjini! Naomba tuwasiliane PM tafadhali AHSANTE
 
Back
Top Bottom