Natafuta mtu wa kubadilishana kituo cha kazi (enrolled nurse)

NOKIALUMIA

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
362
250
Mtu wa kubadilishana kituo cha kazi anahitajika mi nipo DODOMA mpwapwa dc
Kituo ni kizuri mazingira mazuri , maji yapo usafiri upo 24hrs awe mikoa ifuatayo

1,IRINGA 2,MBEYA ,MOROGORO
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom